Hivi unadhania TikTok ya China ina makorokoro kama haya mnayoyaona huku kwetu. TikTok ni silaha yao ya kimtandao

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Despite ya China kuwa nyumbani kwa tik tok ila Tik Tok huko iko very limited.

Ila rest of the world tik tok haina mipaka.

Reels za tik tok ya China zimejaa cultural heritages, academic issues, creativity, martial arts, vichekesho visio sensitive and normal social issues.

Ila huku kwetu sasa, ndipo unapopatia makahaba, watoto wakifata trend za video chafu na matusi megine yakichanganyika na utumbo huku creativity na utimamu unapata likes 2 mbili tu.

Shituka ndugu yangu,

Vita ya sasa super power hawezi pigana na super power kwa njia ya siraha kwa maana anajua haitaisha leo na ni hasara thus wana pigana kwa style nyingine kama hii.

Hebu angalia watoto na wadogo zetu wanavyo athirika na mambo ya mtandao. Najua haukosi kumtaja hata mmoja.
 
Kwahiyo mkuu hii issue ni kunautofauti wa kimuundo katika APP ya China na huku kwetu...!?

Ama ni namna tu ya matumizi ya jamii husika Kulingana na utamaduni (Tabia) z/wao,

Maana ninavyojua mimi jamii ya watu wa Asia hasa Japan, Korea na China ni wanautamaduni bora sana na adabu ya hali ya juu, kushinda hata hawa waliotuasisia dini mashuhuli duniani.
 
Jamaa alitegemea kina mwajuma ndala ndefu wakae busy wapost academic issues hahahah, issue ni utamaduni wa eneo,
Hio hio ticktock Japan wanatumia vema kwa sababu watu wao wanawaza vizuri
 
Marekani walivyo amua kupiga marufuku huu mtandao walionekana watu wa ajabu lakini wanajuana vizuri ni vitu gani wana fanyiana
 
Saivi mmeletewa AI za Chat GPT ili mdumazwe akili, mtegemee computer iwasaidie kuwaza na kujibu na tulivyo mijinga tunazipenda kweli. Well, me nachoona the coming world war 3 haitakuwa ya hizi Bullets, it will be all about biological weapons na nuclear weapons.
 
Yani ndugu basi tuuuuu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom