Cookies na Caches ni vitu gani kwenye Internet

mkuu shukrani kwa somo zuri tumejifunza kitu, but i have 1 more question.. kuna hii kitu huwa inanishangaza... unapotumia front page ya google ku-search kitu kwenye mtandao kabla hujamaliza kuandika "keyword" huwa inatoa option ya keywords hivi hizi options ni cookies pia?
 
gud question..!!! na inakuaje pale kwa kuongzea
 
Na nini maana ya firewall, maana inanisumbuaga na siielewi kaz au umuhimu wake, mara konpyuta inaniambia nii allow/enable na mara inanishauri niidisable hadi nakuwa njia panda
 
CACHE ni sehemu ya kuhifadhi files kwa mda fulani kwenye device yako, kwa mfano kwenye browser inatumika kuhifadhi vitu kama picha za website unazotembelea localy e.g ukifungua jf kwa mara ya kwanza logo ya jf inakuwa downloaded na kuhifadhiwa kwenye cache so ukienda page nyingine ya jf browser inakuwa haina haja ya kuidownloa logo hiyo hiyo ambayo haijabadilika badala yake inaichukua katika cache, hivyo inapunguza matumizi ya data na kuifanya site ionekane fast zaidi.

Cookies ni text files ambazo website inahifadhi katika devic yako ili kuweza kukutambua baadae, kwa mfano unapologin JF na kuchagua remember me, jf inahifadhi file kwenye device yako ambayo ni unique kwako, so next time unaenda jf inaisoma hiyo file na kukulogin automatically bila ya kuwa na haja ya kuandika username/ppassword tena. Pia site zengine zinatumia cookies kukufuatilia mtandaoni kwa jili ya vitu kama matangazo so unaenda Amazon kwa mfano unaangalia viatu, then unaenda site nyingine kabisa lakini unaona kuna matangazo ya viatu kutoka Amazon, hiyo ni tracking ambayo moja ya njia za kuifanya ni cookies.

Hakuna sababu ya kudelete cache unless umeishiwa nafasi au unataka kuondoa rekodi ya site ulizotembelea, kwa mfano ukienda site ya ngono kutakuwa na picha za ngono kwenye cache yako hata kama haukuzisave mwenyewe. Otherwise ukidelete cache sana sana utapunguza spidi ya browser na kuongeza matumizi ya data Kwa sababu kila kitu kinabidi kiwe downloaded upya.

Cookies kuna umuhimu zaidi wa kuzifuta kwa kuwa ni tatizo kwa privacy yako kufuatiliwa na websites.

Mkuu umemaliza kila kitu,akisoma haya maelezo nafkir atakuelewa saana mkuu,thanks kwa hii lecture.
 
mkuu shukrani kwa somo zuri tumejifunza kitu, but i have 1 more question.. kuna hii kitu huwa inanishangaza... unapotumia front page ya google ku-search kitu kwenye mtandao kabla hujamaliza kuandika "keyword" huwa inatoa option ya keywords hivi hizi options ni cookies pia?

hapana hizo sio cookies... ila hiyo ni ajax inafanya kazi inafanya intelligence guessing na kuvuta data toka kwenye database ambazo zinarelate na hiyo keyword ambayo unataka kuandika...
 
Na nini maana ya firewall, maana inanisumbuaga na siielewi kaz au umuhimu wake, mara konpyuta inaniambia nii allow/enable na mara inanishauri niidisable hadi nakuwa njia panda

firewall ni network security system ambayo ina protect incoming na outgoing traffics.... inakua inaprotect device yako na internet so kwenye firewall unaweza jiwwkea sheria flan labda kataa hii ruhusu hii hivyo kufanya computer yako kuwa safe
 
Thats amaizn nlikuwa na shida sana na hii info yaani Obrigado sanaaa
 
CACHE ni sehemu ya kuhifadhi files kwa mda fulani kwenye device yako, kwa mfano kwenye browser inatumika kuhifadhi vitu kama picha za website unazotembelea localy e.g ukifungua jf kwa mara ya kwanza logo ya jf inakuwa downloaded na kuhifadhiwa kwenye cache so ukienda page nyingine ya jf browser inakuwa haina haja ya kuidownloa logo hiyo hiyo ambayo haijabadilika badala yake inaichukua katika cache, hivyo inapunguza matumizi ya data na kuifanya site ionekane fast zaidi.

Cookies ni text files ambazo website inahifadhi katika devic yako ili kuweza kukutambua baadae, kwa mfano unapologin JF na kuchagua remember me, jf inahifadhi file kwenye device yako ambayo ni unique kwako, so next time unaenda jf inaisoma hiyo file na kukulogin automatically bila ya kuwa na haja ya kuandika username/ppassword tena. Pia site zengine zinatumia cookies kukufuatilia mtandaoni kwa jili ya vitu kama matangazo so unaenda Amazon kwa mfano unaangalia viatu, then unaenda site nyingine kabisa lakini unaona kuna matangazo ya viatu kutoka Amazon, hiyo ni tracking ambayo moja ya njia za kuifanya ni cookies.

Hakuna sababu ya kudelete cache unless umeishiwa nafasi au unataka kuondoa rekodi ya site ulizotembelea, kwa mfano ukienda site ya ngono kutakuwa na picha za ngono kwenye cache yako hata kama haukuzisave mwenyewe. Otherwise ukidelete cache sana sana utapunguza spidi ya browser na kuongeza matumizi ya data Kwa sababu kila kitu kinabidi kiwe downloaded upya.

Cookies kuna umuhimu zaidi wa kuzifuta kwa kuwa ni tatizo kwa privacy yako kufuatiliwa na websites.
Honger kwa ufafanuzi mzur mkuu Kang
 
Last edited by a moderator:
Inanishangaza kuna baadhi ya either Apps au kitu unataka software mtu unataka kuinstall simu inaandika clear cookies or catches! Hivyo vitu sivijui na sielewi vina kazi gani katika simu
 
Unataka kujua cookies na cache ni nini kwa undani au unataka kujua jinsi ya kuclear cookies na cache?
 
Cookies are small files which are stored on a user's computer. They are designed to hold a modest amount of data specific to a particular client and website, and can be accessed either by the web server or the client computer.
 
Asante kwa majibu, sema lugha imekaa kitaalam zaidi
 
Back
Top Bottom