Consolatha alipotelea wapi jamani?

Consolatha alipotelea wapi jamani?

Status
Not open for further replies.
wakuu, habari za jioni? kama mtakuwa na kumbukumbu vizuri, mtakumbuka kuwa kulikuwa na huyu bidada aliyeitwa consolatha hapa JF, alikuja moja kwa moja kutueleza juu ya usagaji, jinsi alivyoingia, madhara yake na alivyotoka.

Wakuu binafsi ile mada ilinipotea bila kuimaliza vizuri kwa sababu ilihamishiwa jukwaa ambalo sikuwa na access!

katika pita pita google na kusaka material zinazofanana na mada, nimekutana na hii hapa ID ikiwa imeeleza topic niliyokuwa nikiitafuta...

Samahanini nitakaowakera, naombeni sana muhusika azidi kutueleza zaidi juu ya hii kitu kwa sababu bado inaigusa jamii mpaka sasa na watu wanazidi kuathirika zaidi..

Tafadhali tupatie updates mkuu. itakuwa vizuri zaidi kama ukiendelea kuelezea kilichotokea!

mliopata hizo CD jamani tunaomba na sie tukanunuepo!

Acheni umbea nyie, moda wanajua mchezo walio ufanya na nilisha ripoti hili suala!!!
 
Acheni umbea nyie, moda wanajua mchezo walio ufanya na nilisha ripoti hili suala!!!

Mkuu umbea maana yake nini?

Mod gani awe na bifu na wewe lakini?

Tafadhali kama una habari zaidi ya hii kitu tueleze kwa sababu habari iliishia hewani hewani!
 
sijaona umuhimu wowote wa kuifufua hii mada labda uniambie unataka kujifunza nini cha muhimu

kwani hii mada ilikuwepo miss n?

hili ni ombi tu la mwendelezo wa hadithi iliyoletwa na consolatha!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umbea maana yake nini?

Mod gani awe na bifu na wewe lakini?

Tafadhali kama una habari zaidi ya hii kitu tueleze kwa sababu habari iliishia hewani hewani!

Bifu lako la kwenye pm na lara1 limeisha?
 
Bifu lako la kwenye pm na lara1 limeisha?
lara 1 njoo ujibu hoja ya LIKUD!

kumbe nina bifu ya PM na kubwa la maadui? hahahaaa!!

ngoja nim-pm tena nione kama ntapata kofiee!!

Btw, bado niko interested na mada....
 
Last edited by a moderator:
hupendi kwani? halafu naona siku hizi unajua hadi kugombeza eenh!

napenda nimeshangaa si kawaida yako
hapana siwezi kukugombeza king mbele yako ni mpoleeeeeee sinaga sauti
 
lara 1 njoo ujibu hoja ya LIKUD!

kumbe nina bifu ya PM na kubwa la maadui? hahahaaa!!

ngoja nim-pm tena nione kama ntapata kofiee!!

Btw, bado niko interested na mada....
LIKUD lazima takuwa moderator! KAJUAJE? We si ulikuwa unanishtaki kila sekunde nipigwe ban! Una maana wewe? Mi nakaa mbali mita 100 usawa wa bahari!
 
Last edited by a moderator:
LIKUD lazima takuwa moderator! KAJUAJE? We si ulikuwa unanishtaki kila sekunde nipigwe ban! Una maana wewe? Mi nakaa mbali mita 100 usawa wa bahari!
Napata kitu hapa, kuna uhusiano kati ya wewe likud? kwanini kafahamu kuwa mimi na wewe tunafahamiana kwa kugombania chumbani? amejuaje kuwa nilikutumia PM za ugomvi? Halafu na wewe aliyekwambia kuwa mimi nime-report PM ya matusi uliyonitumia ni nani?

Huoni kwamba wewe lara 1 na LIKUD mnafahamiana kiundani? wewe na yeye mmejuaje mambo ya PM?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom