Rais Kagame: Naunga mkono amani ya Congo DR, ila Rwanda ikichokozwa itajibu mapigo na watajuta kuifahamu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,860
"Nimeshiriki mazungumzo ya amani ya Congo DR na hata kushauri mambo mema ila nasikitika mwenzangu hataki kuwajibika kwa upande wake."

"Wanasema Rwanda inaipiga Congo DR ila hawasemi wala hawaoni jinsi Congo DR inavyoivamia mara kwa mara Rwanda."

"Napenda mno amani na sipendi machafuko kwani huenda nikawa ni mmoja wa watu na wapiganaji walioshiriki vita, hivyo najua madhara yake."

"Kuna ndizi fupi na ndefu lakini kuna watu wanatudharau na kutuona Rwanda ni kama ndizi ndefu, ila nawaambia tuko imara kivita pengine kuliko wanavyojidanganya."

"Nani kawaambia vita inaamriwa na ukubwa wa kijiografia wa nchi? Rwanda ina jeshi imara na lililokamilika katika kila idara na tukichokozwa tu, hao wanaotuchokoza watajuta kutufahamu"

"Amani ya Congo DR ni muhimu na naiunga mkono ila wajue pia kuwa hata amani ya Rwanda nayo ni muhimu vile vile na tunajua athari za vita pengine hata zaidi yao. Acha waendelee kutudharau Rwanda mpaka wakituchokoza ndipo watajua na wataujua uwezo wetu"

Chanzo: BBC Swahili (Dira ya Dunia) leo

Ukiona mpaka GENTAMYCINE anampenda Rais genius and hero Paul Kagame wa Rwanda jua nimeshajiridhisha kuwa ana uwezo mkubwa kuliko Marais wengi wa Afrika na baadhi kwingineko wanywa wine, washinda na eanawake (wadada) kutwa faragha na wazururaji wa kwenda kununua pafyumu za gharama Ulaya, nguo za ndani (vyupi na boksa) na kutibiwa na madaktari wa gharama wa kikoloni (Ulaya, Marekani na Asia), wakati hata huku kwetu barani Afrika wamejaa wengi na wana uzalendo uliyotukuka.
 
Kila siku "Rwanda" "Rwanda" "Rwanda" tuuu. Ivi mnawaona Kama waisrael. Hawana chochote hata wewe GENTAMYCINE ni wale wale mshabiki maandazi tuuu. Huna ukijuacho
 
"Nimeshiriki mazungumzo ya amani ya Congo DR na hata kushauri mambo mema ila nasikitika mwenzangu hataki kuwajibika kwa upande wake."

"Wanasema Rwanda inaipiga Congo DR ila hawasemi wala hawaoni jinsi Congo DR inavyoivamia mara kwa mara Rwanda."

"Napenda mno amani na sipendi machafuko kwani huenda nikawa ni mmoja wa watu na wapiganaji walioshiriki vita, hivyo najua madhara yake."

"Kuna ndizi fupi na ndefu lakini kuna watu wanatudharau na kutuona Rwanda ni kama ndizi ndefu, ila nawaambia tuko imara kivita pengine kuliko wanavyojidanganya."

"Nani kawaambia vita inaamriwa na ukubwa wa kijiografia wa nchi? Rwanda ina jeshi imara na lililokamilika katika kila idara na tukichokozwa tu, hao wanaotuchokoza watajuta kutufahamu"

"Amani ya Congo DR ni muhimu na naiunga mkono ila wajue pia kuwa hata amani ya Rwanda nayo ni muhimu vile vile na tunajua athari za vita pengine hata zaidi yao. Acha waendelee kutudharau Rwanda mpaka wakituchokoza ndipo watajua na wataujua uwezo wetu"

Chanzo: BBC Swahili (Dira ya Dunia) leo

Ukiona mpaka GENTAMYCINE anampenda Rais genius and hero Paul Kagame wa Rwanda jua nimeshajiridhisha kuwa ana uwezo mkubwa kuliko Marais wengi wa Afrika na baadhi kwingineko wanywa wine, washinda na eanawake (wadada) kutwa faragha na wazururaji wa kwenda kununua pafyumu za gharama Ulaya, nguo za ndani (vyupi na boksa) na kutibiwa na madaktari wa gharama wa kikoloni (Ulaya, Marekani na Asia), wakati hata huku kwetu barani Afrika wamejaa wengi na wana uzalendo uliyotukuka.
Labda Ni hero kwa vilaza na wakata mauno wa DRC
 
Mkuu unamuita PAKA hero kwa sababu gani, hebu fafanua
 
Kuna ndizi ndefu na ndizi fupi,wao Rwanda ni ndizi ndefu je ndizi fupi ni wakina nani hao?mwambie ndugu yako PK atulie eheeee😂😂
 
Hakika umeweka vzr na pia nimeona video hyo akazungumza kwa kiswahili alilenga waKenya waelewe kitu anachozungumza

Alizungumza kwa kujiamini San nimependa alvyo address taifa kwa lugha yetu
 
Afrika mashariki yote huyu ndie Rais ambaye siku zote anaongea kuhusu vita na mambo ya namna hiyo na siku zote ukiona mtu wa hivi lazima yeye ndie ana shida...
Kizuri muda utasema....asifikiri watu ni wajinga...
 
"Nimeshiriki mazungumzo ya amani ya Congo DR na hata kushauri mambo mema ila nasikitika mwenzangu hataki kuwajibika kwa upande wake."

"Wanasema Rwanda inaipiga Congo DR ila hawasemi wala hawaoni jinsi Congo DR inavyoivamia mara kwa mara Rwanda."

"Napenda mno amani na sipendi machafuko kwani huenda nikawa ni mmoja wa watu na wapiganaji walioshiriki vita, hivyo najua madhara yake."

"Kuna ndizi fupi na ndefu lakini kuna watu wanatudharau na kutuona Rwanda ni kama ndizi ndefu, ila nawaambia tuko imara kivita pengine kuliko wanavyojidanganya."

"Nani kawaambia vita inaamriwa na ukubwa wa kijiografia wa nchi? Rwanda ina jeshi imara na lililokamilika katika kila idara na tukichokozwa tu, hao wanaotuchokoza watajuta kutufahamu"

"Amani ya Congo DR ni muhimu na naiunga mkono ila wajue pia kuwa hata amani ya Rwanda nayo ni muhimu vile vile na tunajua athari za vita pengine hata zaidi yao. Acha waendelee kutudharau Rwanda mpaka wakituchokoza ndipo watajua na wataujua uwezo wetu"

Chanzo: BBC Swahili (Dira ya Dunia) leo

Ukiona mpaka GENTAMYCINE anampenda Rais genius and hero Paul Kagame wa Rwanda jua nimeshajiridhisha kuwa ana uwezo mkubwa kuliko Marais wengi wa Afrika na baadhi kwingineko wanywa wine, washinda na eanawake (wadada) kutwa faragha na wazururaji wa kwenda kununua pafyumu za gharama Ulaya, nguo za ndani (vyupi na boksa) na kutibiwa na madaktari wa gharama wa kikoloni (Ulaya, Marekani na Asia), wakati hata huku kwetu barani Afrika wamejaa wengi na wana uzalendo uliyotukuka.
Mtu mtemi hajigambigambi bali anasubiri achokozwe ili akiwashe.
 
Hakika umeweka vzr na pia nimeona video hyo akazungumza kwa kiswahili alilenga waKenya waelewe kitu anachozungumza

Alizungumza kwa kujiamini San nimependa alvyo address taifa kwa lugha yetu
Ukiona GENTAMYCINE nampenda Mtu jua ana Akili sana halafu pia Amebarikiwa mno na Mwenyezi Mungu kama vile nilivyobarikiwa na Mimi.

Hakuna Rais nampenda kama 'Genius' Paul Kagame wa nchini Rwanda.
 
Afrika mashariki yote huyu ndie Rais ambaye siku zote anaongea kuhusu vita na mambo ya namna hiyo na siku zote ukiona mtu wa hivi lazima yeye ndie ana shida...
Kizuri muda utasema....asifikiri watu ni wajinga...
Hopeless hakuna nchi yoyote hapa Afrika Mashariki na Kati ( Tanzania yako ikiwemo ) inaweza Kupambana Kivita na Taifa la / Nchi ya Rwanda na tena Nawaonya msije mkathubutu kwani mtajuta na hamtoamini Kitakachowatokea pamoja na Kujivunia Kwenu kuwa na Nchi Kubwa Kijiografia, Jeshi Kubwa na la Kihistoria na kwamba sijui Silaha zote za Rwanda mnazijua kwakuwa zinapitia Bandarini Kwenu mkisahau kuwa zipo zingine tena Kubwa na Kali wala hazipitii Tanzania Kwenu na hamzijui kabisa.

Huna na hamna Akili. Thubutuni muone.
 
Back
Top Bottom