UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
.asante,nia yangu sio Kuhama nyumba,ila ni kuwa in normal condition
Kuhama nyumba nimeweka kama manjonjo tu, i dont mean!
.asante,nia yangu sio Kuhama nyumba,ila ni kuwa in normal condition
Amina mtumishi wa Mungu,miaka yote hiyo mpaka kesho nitadumu kuomba.asante nitafanya hivosawa dada yangu sasa fanya maombi ya kuatamaia kama kuku anavyoatamaia mayai mpaka atotoe na maanisha wewe ng`ang`ana na Mungu mpaka Mungu amfungue mmeo,kama vile Hana alipoomba kwa machozi mpaka alipopata uhakika wa kupata mtoto.Nilikuwa na tatizo la kutoka damu kwenye fizi nikipiga mswaki,sikuwa najisikia vizuri nikaombewa mara nyingi maana ni miaka zaidi 20,nikaanza kuomba mwenyewe na wakiita kuombewa sehemu sikuacha kuombewa sikumbuki hata siku niliyopokea muujiza maana nilishangaa tu nikipiga mswaki halihiyo ilisha isha trust..........Mungu hatamtesa mtu hata milele ajapomhuzunisha mtu atamfurahisha kwa wingi wa huruma zake...maombolezo 3
Mama, usiwe na hofu kiasi hicho hata kuanza kutaka mengi. Huyo bado saana. utamwinjoy mpaka atii. Fuata yafuatayo;
Jifunze kumsifu siku hiyo anapo do. Mwambie hakuna siku kama hiyo tena umeona amekuja na ufundi mpya. Japo ni ulimi tu.
Mwanaume ni mjinga akisikia neno hilo kutoka kwako. Mwambie akiendele hivi utanenepa.
Pili. Mfanyie ambacho hujawahi kama kubadilisha position or style. Wengi tumezoea "Juu chini" badilisha, mwongoze kwa pasition nyingine. Mvizie siku hajaenda ulevini. Jifanye kudeka kuwa unaumwa na unajisikia joto umwombe akuogeshe. Hata kama ni nyumba ya kupanga, deka sana kuwa akukande hata kwa kitambaa. Mwombe umlalie tu huenda tumbo likakoma etc. yaani kwa njia yeyote akuguseguse tu na weye uleggee.
Tatu; Usimsumbue sana kwa matumizi. Fanya budget. Mwondolee wasiwasi usio wa lazima.
Mpe vyakula ulivyo elekezwa hapo juu. Kumbuka, ulevi ni njia potofu waiendeao wanaume wakidhani ni njia safi ya kujisahaulisha udhaifu wao; ukiona hivyo hata angekufumania asingekufanya chochote zaidi ya kuongeza ulevi.
Msaidie kwa kuzidi kuwa mwaminifu na kumtia moyo, hakuyapenda bali yamemfika na wa kumsaidia ni weye.
Naomba tutafutane, mi pia nina problem hiyo. Wife hataki ku-do kabisa. Tuwe tunafanya halafu tunarudi kwa wenzi wetu. No strings attached. Unaonaje? Ni PIM ili tupeane namba za simu tupange pa kuonana.
Hebu ngoja kwanza, niko Bethlehem namsubiri Masiha azaliwe.
kabla ya ndoa hatukuwahi kukutana kimwili!Kama na yeye analiona hilo tatzizo kinachofanya agome kwenda hospitali ni nin? usijekuta analifahamu tatizo na anajua chanzo chake labda kukuambia anaona aibu maana kama naye lingekuwa linamkuna angeonyesha ushirikiano wa hali ya juu maana yeye ndo muhusika,je kabla hajakuoa mlikuwa mnafanya? performance yake ilikuwaje hapo kabla?
Thanx for ur concern!pole sn, mwambie ale sn tende na alambe sn asali ya nyuki wadogo walau mara mbili kwa siku. pia atafune vitunguu saumu, punje tatu, kutwa mara tatu kwa siku 14 asiteme chochote ameze kila kitu. Pia kuna vijitunda kam karanga mbichi Vinaitwa ALMOND vinapatikana sokoni Kariakoo kwenye maduka ya dawa za asili opposite na stend ya mabas ya mwenge((wanauza Buku tu) ni nzuri sn nazo anatafuna tu km karanga. I am Wishing u all the best!