I need advise or help if you can do this for me

Feb 7, 2016
42
11
Hello I hope all members here are just fine as usual and if there is something wrong or you have problem may God be with you.

I'm a new user of this site as you can see my details (if you can), I'm a young boy and my age is 21.

I have only a mother, my dad died since 2007 when I was in standard 6, my mother is in small business, she sells small things, but she took me to a good school (boarding schools) private school.

I studied upto form 6 but I didn't finish because something happened (is a long story) but I didn't do my final nationa examination.

Now I live in Dar because I decided to find a college so that I can start my certificate studies.

But as I started my mother got some problems and she didn't continue with her business and she went bankrupt (became more poor than we were before) so I stopped also to study.

My intentions of writing here is I need to get a job. I realy need to study but how can I study without money? I had a job somewhere and my contract ended (3 months contract) and I started finding a new job but I didn't get any.

My life is very hard now, and my mother also needs my help but I can't help her because I don't have a job, if you can offer me any kind of job (legal job) even to be a house maid I will do it, I know to use computer programs like Microsoft office, excel and publisher but I don't have certificates so that I can find a job in companies because I didn't finish school, please guys help me.

Sorry because of a long story but please if anyone can advise me or help me just send me a private message and I will give you my details all details you want....and even meeting with me if you prefer.

Thank you so much and God bless you all.

NAOMBA USHAURI AU MSAADA KWA ATAKAEWEZA KUNISAIDIA
Nafupisha Tu kwa ajili ya walioshauri nitumie kiswahili PIA,

Mi Ni kijana Nina umri WA miaka 21 kwa sasa, Nina elimu ya kidato cha sita (japo sikufanya mtihani WA mwisho kwa sababu zilizokuw nnje ya uwezo wangu na sitaelezea zaidi hapa jf) Nina mama Tu Baba amefariki 2007 na mama yangu ndo aliendelea kunisomesha kwa kufanya biashara ndgondogo ambazo zlitupa uafafhar WA maisha na nkafanikiwa kusoma private schools from O level to Advance level.. ILA kwa sasa mama Hana uwezo tena na ananitegemea Mimi na mi nilikuwa nafanya kazi mahali flani kwa mkataba (3 months) then inaisha... Sitasema mambo mengi ILA ninawakati mgumu Sana na sometimes I wish nngekufa Tu... Now shda yangu kubwa kwenu Ni kuomba kazi... Kwa yeyote anaeweza kunisaidia nikapata kazi hata kama Ni kazi za ndani za nyumbani tafanya Tu japo elim yangu Ni form 6 na nafahamu computer vizuri ILA sina vyeti vya kunisaidia kuajilia anywhere.. Nahitaji kusoma ILA PIA nahitaje hela niwez kuishi kwa sasa.... Naomba msaada wenu WA kupata kazi... Mengine siwezi kuelezea hapa ILA kwa maelezo zaidi tutaongea PM

Thank you Mkuu kwa ushauri mzuri Sana... Nina rafiki angu mmoja tulitengeneza wazo la kutafuta mtaji walau WA laki sita hadi 8 then tuanzishe kibanda somewhere (rafki yangu anapajua na wanamgahamu) tuuze vifaa vya cm, na maswala ya kutengeneza cm (ye anaujuzi WA kutengeneza cm) na tuweke m pesa na tgo pesa nk... Au hata kufanya biashara ya max malipo kuuza luku na kadharika... Kwa eneo lile alolitaja yeye Ni kweli biashara itaenda na itafanikiwa Sana ILA tatizo Ni kupata mtaji wote huo.. Is true ILA niliogopa kuomba mchango WA pesa kwa watu hasa jamii forum caz some people may think that I'm some kind of tapeli... ILA ukweli nikipata huo mtaji hakika tafanikiwa....umenikumbusha jambo kubwa Sana ambalo nilikuwa nishalisahau na kuingiwa hofu kuwa SI rahisi kupewa na watu kiasi chote hicho na nikakata tamaa kwamba lazima nitafte kazi ili ndo nifanye savings ikitimia hiyo hela ndo nikaamzishe hiyo biashara na rafiki huyu...
updates:
some people gave me some advice inbox and others said they will help me by informing me when they here any job somewhere and other gave me advice (good and wonderful ideas).. I will walk on their advices but still I need more advice and help... Thank you also for those who advising me and I real appreciate your comments...
 
Oops! so sorry, but why you didn't write in black language (Swahili) to make them understand.
 
Oops! so sorry, but why you didn't write in black language (Swahili) to make them understand.
Yeah I'm sorry but ugeni nao umechangia when I signed up nkakutana na thread ya kingereza so posted my thread there in English... But I think the JF management wakaihamishia huku... I'm sorry but I will write it in Swahili later
 
Dogo, una profession gani? maana umesema tu watu wakusaidie kutafuta kazi bila kusema unaweza kufanya kazi gani hasa.
 
Dogo, una profession gani? maana umesema tu watu wakusaidie kutafuta kazi bila kusema unaweza kufanya kazi gani hasa.
Kama nilivosena pale... Sina professional yoyote in terms of maybe certificate or degree sababu nimeishia form 6 ILA Nina ujuzi WA computer programs like Microsoft office,excel na publisher na mambo mengne kwenye computer but nimewah fanya kazi somewhere ya customer service ILA PIA naweza kufanya domestic works au zingine zozote ambazo unahisi taweza kusaidia.... I hope umenielewa Mkuu.. And thanx for your advice
 
mdogo wangu, endelea kumuomba Mungu na weka juhudi zako katika kile utakachopata na kukifanya....atakusaidia tu...wabongo wanasaidia kwa kutaka sifa tu...ukim-face yeyote mwenye uwezo hawezi kukusaidia hata ungeongea kichina....wanatoa misaada kwenye ma-TV tu ili waonekane na jamii...kwa hapa bongo ni bora mlalahoi mwenzako atakusaidia.... kama wewe ni mchaga au mhaya unaweza ukawaona wazee wa makabila yako ukijieleza vizuri unaweza pata msaada..lakini kama ni kabila nyingine kama wanyakyusa, wahehe, wakinga, wasukuma, wasafwa, n.k sahau kabisa...hayo ni makabila ya ajabu sana hapa duniani
 
Tatizo lenu nyie mlioenda shule mpaka Advance level na kuendelea mnapenda kazi za kuajiriwa. Kwa nini hampendi kujiajiri? Tatizo mnapenda kukaa mijini. Njoo huku mikoani kuna fursa kibao tu. Ardhi ipo kwa ajili ya kilimo,.
 
mdogo wangu, endelea kumuomba Mungu na weka juhudi zako katika kile utakachopata na kukifanya....atakusaidia tu...wabongo wanasaidia kwa kutaka sifa tu...ukim-face yeyote mwenye uwezo hawezi kukusaidia hata ungeongea kichina....wanatoa misaada kwenye ma-TV tu ili waonekane na jamii...kwa hapa bongo ni bora mlalahoi mwenzako atakusaidia.... kama wewe ni mchaga au mhaya unaweza ukawaona wazee wa makabila yako ukijieleza vizuri unaweza pata msaada..lakini kama ni kabila nyingine kama wanyakyusa, wahehe, wakinga, wasukuma, wasafwa, n.k sahau kabisa...hayo ni makabila ya ajabu sana hapa duniani
Yes is true what you say Mkuu.. Mi Ni mnyakyusa (siwachukii wanyakyusa) ILA nawachukia ndugu zangu Sana because walichotufanyia after my father's death sitakisahau in my life.. They are devils..you can't believe they turned to a worse people I've never meet before... All was about things. Just things like cars,house etc changed them wakawa mashetan yenye roho mbaya.... I Don't want even to remember about the past and that's why I don't want to deal with anyone now wameharibu sana future yangu nmekua kama nmezaliwa in a poor family.. Afadhari nngezaliwa kwenye poor family nngeweza kuishi mazingira yoyote but imenchukua muda sana kuadapt mazingira ya kukosa hata mlo mmoja kwa sku... Is very bad thing.. Bora uwe maskini then ghafla uwe tajiri kuliko kuwa tajiri au na uwezo kiasi then uje kuwa maskin... Nimepitia mengi siwez kusema hapa but all I want now is to get job... Ndugu WA ukoo mmoja wamekuwa worse thing kwangu.... I'm happy now caz I don't know where are they and if they know where I am now I don't care...
 
Back
Top Bottom