Chambua mada kwa umakini...je unahisi wale 8000 ni akina nani...je ni lini tcu walitoa authorised info ambazo at last walishindwa ku-fulfil...je tcu wakitoa taarifa za uongo kuhusu selexn wanafaidika nn....mapritenda wakubwa hao tcu, third round mwisho 30aug, alafu approval 25aug, does it bring sense? Itakuwaje kwa watakaoapply 30aug? Let us be great thinkers, this is a drama and tcu are acting untittled movie.
Aseee wabongo hamsaidiki...unapewa updated infomations at the right time still unaleta ligi...aya wewe tupe bas tarehe zako zenye usahihi....
Tusichanganyane hapa, vyuo vingine vimeshatoa majina hii imekaa vipi wadau?
hebu tutulize akili tutafakari haya matukio,mi binafsi niko confused
Chambua mada kwa umakini...je unahisi wale 8000 ni akina nani...je ni lini tcu walitoa authorised info ambazo at last walishindwa ku-fulfil...je tcu wakitoa taarifa za uongo kuhusu selexn wanafaidika nn....
Ukiangalia kwa umakin hivyo vyuo ni vile vyenye kupokea idad ndog ya wanafunz so ni rahis kwao kukagua list waliyotumiwa na kuirejesha tcu kisha kupata kibali cha kutangaza selexn zao tofauti na vyuo vingine ambavy vnapokea wanafunz weng...so tuwangojee wamalize by the end of august tuulizane kuhus ufasaha wa tcu
Hawa tcu vp.Mbona hawaeleweki?Hiyo idadi inatoka wapi ya 8,000.Au wanapungua kufikisha idadi ya wanaohitajika.Kama sasa walioomba ni 39,140 afu kati ya hawa 8000 watakosa.Nini maana ya kusema waombe tena 3 round.???TCU sijawaelewa.
wadau mnafikiliaje kwa hao watu takrabani 80,000 kukosa vyuo....???
Swali langu je hawa watu 8000 wataokosa vyuo! Watatoka kwenye 1st round, 2nd round, 3rd round selection! Na je vp kuhusu vile chuo ambavyo vimeshatoa majina ya wanachuo wakee?
Nilivyokuwa naelewa mm; 1st selection ilivyofanyika wenye sifa ya kupata course husika walizoomba walipata na majina yakatumwa vyuoni, waliokosa/walikataliwa na vyuo majina yakarudishwa ili wajaze 2nd round then nao waliopata majina yakatumwa chuoni i.e ndo maana chuo kama jordan kilishatoa majina yake ya wote waliochaguliwa 1&2 round! Kama kawaida waliokosa/waliokataliwa na vyuo husika awamu ya pili ndo wamepewa chance ya kujaza awamu ya tatu!! Swali je mbona wanaojazaa awamu ya tatu ni wachache(1922) kuliko wanaokisiwa kuwa watakosa vyuo (8000).! Hapo ndipo naposhindwa kuelewaa, naomba kueleweshwa..!

Finaly
mi naona hawa jamaa wanafanya kazi kwa kujiskia sana,halafu hawajali wanaowafanyia kazi wako katika hali gani.Kitendo cha kila mfanyakazi wa tcu kuwa anatoa habari kwenye magazeti mara huyu mara yule kinatia mashaka ya ufanisi wao wakati wanayo OFFICIAL WEB, ambayo wanaweza kusema selection tutatoa kuanzia tarehe flani.nawaona wapuuzi tu
hizi newz ni very flabbergasting, when you think kwa kina hupati majibu kirahisi