Confirmed: Tcu selection

Confirmed: Tcu selection

Bollo Yang

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
440
Reaction score
57
kuna uwezekano wale wa airtel yatosha wakakutwa wamebadilishiwa course ktk afficial results za TCU kwani kuna vyuo vitawatema,mfano kuna jamaa alipata III.15pnts kupitia airtel yatosha kakuta amepangiwa UDSM,Mechanical engnearing.Maybe UDSM kwa sasa but kuna kitu ka hicho cha kubadilishiwa course,so wale wa yatosha..........!!!!!!!!!!!!!tetesi
 
Wadau,

TCU selection kwa vyuo vyote itatoka baada ya 25 mwezi huu, maana kwa sasa majina ya waliochaguliwa yamepelekwa kwa vyuo husika ili wayapitie, then watayarudisha majina hayo kwa TCU tarehe 25 mwezi huu, na TCU watafanya final approval na kuyatangaza mwisho wa mwezi huu.

Chanzo: Gazeti la Citizen la leo.

nilivyoelewa mimi; TCU watayapublish kuanzia tar 1/9 after final approval, but vyuo wataanza kupublish kwa ujumla kuanzia tar25 mwez huu, ingawa kuna baadhi ya vyuo wamesha publish tayari.! Wana jamvi nyie mmeelewaje hiyo taarifaaa
 
nahc niko pamoja na ww,asante mkuu kwa kutupa habar njema ya kutupa tumaini jema.....
 
Wadau,

TCU selection kwa vyuo vyote itatoka baada ya 25 mwezi huu, maana kwa sasa majina ya waliochaguliwa yamepelekwa kwa vyuo husika ili wayapitie, then watayarudisha majina hayo kwa TCU tarehe 25 mwezi huu, na TCU watafanya final approval na kuyatangaza mwisho wa mwezi huu.

Chanzo: Gazeti la Citizen la leo.

Ni kweli kaka ila wamesema zaidi ya waombaji 8000 watakosa nafasi
 
nilivyoelewa mimi; TCU watayapublish kuanzia tar 1/9 after final approval, but vyuo wataanza kupublish kwa ujumla kuanzia tar25 mwez huu, ingawa kuna baadhi ya vyuo wamesha publish tayari.! Wana jamvi nyie mmeelewaje hiyo taarifaaa

Tarehe 25 ndo vyuo vinatakiwa viwe vimerudisha majina hayo tcu baada ya hapo ndo watatoa mwisho wa mwezi huu
 
Back
Top Bottom