Confirmed:> New love birds - Diamond and wWema Septu

hivi mwanaume wa maana yukoje na asiye na maana yukoje,na nani anatakiwa kujua huyu wa maana na huyu sio kama si muhusika mwenyewe...


thnz shosti na mie ndio nilikuwa nataka kuuliza swali hilo hilo...tabu kitu gani jamani kama wenyewe wamependana?...mbona tunaishiliaga tu kutakiana mabaya.....
 
Mr Blue
Kanumba ze great
Jumbe waliefunga ndoa batili
Chalz Baba
Diamond
Who is next.......... atakuwa mwanasiasa i think
 
Tutarajie Mbagala Part II maana nimjuavyo Wema hakawii kumtosa na kuenda kwa msanii mwengine
 
Mwacheni kijana ale starehe na binti Sepetu...nyinyi yanawahusu nini? what happened to the right to make a choice? Hata kama hukubaliani nao..please respect their privacy. You can comment without going negative..wengine humu wanaolewa wameshazaa watoto kibao..wake kwa waume..do we call them mitumba? watu wanadate partners wanaowazidi umri...do we call them spent force??? Please..lets learn and accept to celebrate our differences positively. Hatuwezi kuwa sawa na wala hatuwezi kuona mambo katika mtizamo mmoja. Ni hayo tuu. For Diamond....listen to BO properly......every action requires consequences. Get ready. Its the nature of the world.

To the new couple: Nawatakia furaha na baraka tele.
 
diamond.jpg
Ngoja tumpeleke kwa babu wa loliondo akapate kikombe ,huenda akapona kaugonjwa ka malavidavi
 
babu wa loliondo anawatia jeuri vijana.....anapopita chalz baba si pakupita na maneno haya si yangu chalz mwenyewe alishawahi kumwambia mshkaji wangu!
 
Hii imekaa vizuri sana kwa publicity , maana week hii kuna Kili Music Awards hapo votiing nadhani zitakua za kutosha.
 
They say love doesnt ask why, ryt.......... people shud stop judging and toking bullshi:angry:t wen two people are in love......
 
Duh kweli penzi kikohozi uwezii kulificha tusimlaumu sana uyo binti dogo ndo anatakiwa kulijua ilo maana si saizi yake na anayajua yote ya binti uyo na wote walioachwa kwene mataa na uyo
 
Walio kwenye wrong relationships,wale sampuli ya 'im married but im not happy,wanaoishi na vibabu utawajua tu kwa jinsi wanavyojitahidi kujifariji.Huwezi jua labda bi Wema huwa anapita hapa JF,hivyo angeeza faidika na ushauri wa ma critics hapa kwa namna moja au nyingine,Sasa wewe unajifanya kutetea anavyogawa uroda kama njugu,eti kwavile kila mtu na maisha yake.
 
yaani nakuw2a na mtoto wa hivi hamtoa sadaka haki ya mungu ..yaani mtoto anawaza wanaume mwanzo mwisho.....khaaaa
 
Ndiyo yupi huyu wa maana?

Nilidhani chagua la mtu ndilo "la maana kwake"

Ungei bold sentensi yote na kuitafakari labda ungeelewa ninachomaanisha.Nikisema mwanaume wa maana simaanishi mali au ma PhDs.Point yangu ni kwamba huyu binti angeachana na kukigawa kama pipi na badala yake angetulizana na kutafuta jamaa mmoja potential,watengeneze future.
 
Ungei bold sentensi yote na kuitafakari labda ungeelewa ninachomaanisha.Nikisema mwanaume wa maana simaanishi mali au ma PhDs.Point yangu ni kwamba huyu binti angeachana na kukigawa kama pipi na badala yake angetulizana na kutafuta jamaa mmoja potential,watengeneze future.

Diamond si "potential"?

Na unajuaje anakigawa? Ulikuwa fly on the wall mara zote alizokigawa (sijui hata ni kinini hicho)?

You people are too judgmental...geeeeez
 
Back
Top Bottom