Confirmed:> New love birds - Diamond and wWema Septu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
diamond.jpg


http://bongoflavortz.blogspot.com/2011/01/wema-arejea-nchini-magazeti-ya-leo-ya.html
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/siri-nje-1
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/diamond-amkoleza-wema
http://mlauledj.blogspot.com/2011/03/diamond-na-wema-sas-mambo-yameiva.html

exclusive.jpg


wema222.jpg

exc.jpg

Wema%2BSepetu
 
makubwa, yaani huyu binti hana kipaji kingine zaidi ya kupenda ma super star wa bongo? ni aibu sana kwake familia yake na jamii kwa ujumla kwa hiyo huyu mtoto nae akishuka umaarufu atamuacha na kurukia mwingine, msichana wa maana haesabiwi kwa namba ya wanaume aliyowahi kulala nao. Bahati mbaya sana kwa binti na familia yake, angalieni tamthilia ya India a love story kwenye ITV ndio mtajua thamani ya binti ni nini na nani alaumiwe kwa ukwasi wa kingono wa mabinti zetu kama hawa, sishabikii kwa ushambenga naumia maana aibu ni kwetu sote.
 
Uuwiiiiiiiiiiiiii!
Jamani huyu binti anapenda kuonekana au anapenda wanaoonekana sana?
 
manshalaaaaaaaaaaaaaaaah laaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!penzi ni kikohozi kulificha huwezi!!!ponda raha kufa kwaja!
 
Mbona diamond mdogo sana, huo mzigo atauweza kweli?

Maskini Diamond ataliwa vihela vyake na Wema kisha kuachwa kwao Mbagaraaa akishanga.
 
Mi nafikiri mwenye tatizo ni Dimond, kwa nini anakimbila lijimama kama hilo wakati kuna watoto wa size yake??? Acha aibiwe
 
Mi nafikiri mwenye tatizo ni Dimond, kwa nini anakimbila lijimama kama hilo wakati kuna watoto wa size yake??? Acha aibiwe
afadhali kuibiwa tu... Aweza kupata mabaya kuliko anayotegemea

Naona dogo kadandia treni kwa mbele
 
Huyu demu Wema nilikuwa namuona mzuri sana,sema mapepe yake tu.Lakini angejituliza na kusoma,angepata mwanaume mmoja wa maana sana
 
Maadili yakikosekana mambo kama hayo ni ya kawaida kwa mlengwa.
Wasanii na masuperstaa jifunzeni, mnapaswa kuwa kioo kwa jamii kwa mema na si kwa mabaya, ijengeni jamii na si kuibomoa,
 
hivi mwanaume wa maana yukoje na asiye na maana yukoje,na nani anatakiwa kujua huyu wa maana na huyu sio kama si muhusika mwenyewe...
 
Tukumbushane kidogo..huyu Wema si ndo wakati fulani alikuwa kama teja...aliwahi kamatwa kwa scandals mbali mbali???? Najaribu kukumbuka..
 
duh nahisi mashine ya huyu binti itakua mtumba chakavu sana,yaani shavu zote zitakua zimepigwa pasi maana hawa vibaka anaovamia inaelekea wanamtafuna wanakomba hasa mautamu ya huyu mtoto,haya baada ya sharo b mbagaraaa sijui nani anafata.kama sio msafir diof wa twang:tongue:
 
mara tid, blue, kanumba, jumbe, chalz baba, diamond, etc,, eheee na wengine watafuata,,,,
 
Back
Top Bottom