Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

Msamaha wa kweli toka kwa muumba ni pale utakapo amua kuacha kwa dhati mabaya yote uliyofanya, unayofanya na uliyo taraji kufanya kwa dhahiri na kwa kuficho.
Kuungama ni sehemu muhimu sana katika safari ya kuelekea kwenye mwanga wenye matumanini ya maisha bora ya duniani na kwa mungu pia. Nafsi yako ndio shahid namba moja wa maovu yote uliyo fanya. Mabadiliko ni wewe na kwakuwa umeonyesha utashi wa kuachana na rubish na kubadilika basi mungu atakuongoza vema.

Kwa imani yoyote unayofuata kwanza jaribu kuwa karibu na mungu kwa kufanya ibada, yaani hudhururia msikitini/Kanisani bila kukosa. Vitabu vitakatifu ndio iwe sehemu ya maandishi unayopenda kusoma zaidi.
Watu wako wa karibu pia wasiwe wale uloshirikiana nao katika kuudhalilisha ufalme wa muumba na kwenda kinyume na matakwa yake. Hapa ni muhimu sana kubadili kuangalia mwenendo wa kila aliye karibu nawe ili iwe rahisi kwako kupata hamasa ya kutotaka kabisa kurudi ulikotoka.


NOTE; Si kila atakaye kushangaa au kukudhihaki kwa ulichoandika ni mtu mwema mbele ya Mungu na jamii kwa ujumla. wapo wengi wenye mabaya zaidi yako na bado hawajajaaliwa uwezo wa kujitafakari na kuona kile ulichokiona.
Nashukuru sana kwa haya maneno yako, yamenbariki sana sana, kupita kiasi mpendwa1111
Mungu akubariki sana sana, na akujalie haja ya moyo wako mpendwa!! Ahsante sana BAGAMIKA
 
Neemababy sijakulaani dadangu bali nimejaribu kutafakari kwa kina kuhusu uliyopitia, kulingana ushuhuda wako na hali yako ndivyo ulivyo haijalishi umebadilika lakini historia haifutiki dadangu, kama ujuavyo kidonda hupona lakini jeraha hubaki.
Najua utaolewa lkn hali hii hutasahau.
Haimaanishi kubadilika na historia itafutwa laah!

Cjazungumzia utakatifu bali uliyopitia na ambayo hayana nguvu kwako kwani umebadilika.
Mimi cjakamilika lakini cjawahi kuwa fataki wala cjawahi kula tigo na ctegemei kufanya hivyo.

Ndipo nikajiuliza endapo nikakutana na mtu kama wew umeja roho, unanena kwa lugha, mtanashati, unaimba mapambio hadi roho anashuka, unasura nzuri na wakutamanika lkn una siri kama hii itakuwaje?
Ndipo niliposema wanaume tunastahili pole.
Ukijaribu kunielewa hutalalamika kwani ndo ukweli wenyewe dadangu mzuri Neemababy
Wanaume kwa kujikuta wasafi sasa hamjambo, wakati nanyi mna mapito hadi shetani anasubiri.
 
Kama ulichokiandika ni kweli basi nikupongeze kwa hatua uliofikia ya kuhitaji kujikomboa..Pili naomba mrudie Mungu maana binadamu wataishia kukupa majina na maneno mabaya wasijue umebadilika kwa dhati hivyo Mungu pekee ndie ataweza kukubadilisha machoni pa binadamu...Tatu onyesha kubadilika kwa matendo na wala si maneno naamini jamii iliokuzunguka itakupokea vyema na inshallah utapata mume bora na watoto wazuri..
NB:kapime afya kabla ya kukutana na huyo mume mtarajiwa pia Mungu alisema dhambi zetu zijapokua nyekundu kama damu atazifanya nyeupe kama theluji
Ubarikiwe sana mpendwa masamakwetu
 
Haiwezi kurudi hiyo. Ishatumika sana na baadhi ya misuli zitakuwa zimeachia mazima.
Hahaha, kiongozi simo. Ila kwa karne hii ukipata kalikotunzwa miezi sita hadi mwaka bila bila, ni kama umekwapua rakibi [HASHTAG]#kidding[/HASHTAG]!!
 
Jamani mimi ni msichana ambaye niko kwenye late 20s. Nimesoma hadi chuo kikuu (degree moja).

Niliendekeza sana starehe na kupenda pesa ikiwa ni pamoja na kupenda kuishi maisha ya gharama kubwa kuliko uwezo wangu.

Kwanza nilianza mchezo wa kugegedana nikiwa na umri wa miaka tisa tu. Nilikuwa napenda sana wanaume wenye pesa na magari yao. Nikiwa darasa la saba tu tayari nilianza kulala na wanaume watu wazima wenye familia zao huku wakinipa pesa.

Ilikuwa nikiona mwanaume anaendesha gari tu basi mimi huku chini kunalowa (hata kama sio la kwake, haijalishi kwa hiyo hata madereva teksi na daladala walinila sana).

Nikiwa kidato cha kwanza nilikutana na mbaba mmoja mtu mzima ambae alianza tabia ya kunila tigo hadi nikazoea tabia hiyo. Japokuwa ilikuwa ukinila tigo ni lazima ulipe zaidi.Kiukweli nilikuwa kama changudoa, ila tu mimi nilikuwa sijipangi barabarani kujiuza kama ma-cd wanavyofanya.

Tabia hiyo iliendelea hadi nilipofika A level ambako nilienda boarding school, huko mara nyingi nilikuwa natoroka na kwenda night clubs ambako kila mara niliondoka na wanaume na kwenda kuwahudumia usiku mzima, na asubuhi nilirudi shule.

Siku ambayo sitaisahau maishani ni siku ambayo nilipigwa mtungo na wanaume watano, waliniingizia uume kila tundu la mwili wangu siku hiyo, na niliumwa wiki nzima baada ya tukio lile.

Nilipofika chuo tabia hiyo ilizidi kuota mizizi kiukweli ilifika kipindi kila.usiku nipo na mwanaume tofauti (kama mjuavyo maisha ya chuo yanavyokuwa tait bum linapokata).

Nilipomaliza chuo pia nilipata kazi wiki mbili tuu baada ya kumaliza chuo (of coz nilitumia nguvu ya mwili wangu kupata kazi), na niliendelea na tabia hii kupenda pesa nisizozitolea jasho za wanaume.

Hadi ilibidi niache kazi ile sehemu niliyopata baada ya kumaliza chuo kwa sababu nilibatizwa jina la 'kibiriti ngoma' maana kiukweli sidhani kama kuna mwanaume hakunipitia pale kazini!

Sasa nataka kubadilika niache hii tabia ya kupenda vya dezo, maana naona umri unaenda nataka na mimi niitwe mke niwe na watoto wangu.

Naombeni ushauri tafadhali.

===========

MREJESHO:
Eeeeendeleeeza maisha yako tu ndugu
 
Wanaume kwa kujikuta wasafi sasa hamjambo, wakati nanyi mna mapito hadi shetani anasubiri.
Mwanadamu ana siri nzito lakini hakuondoi ukweli kuwa wasafi tupo pia ke kwa me...atoto
 
Ushauri ninaouhitaji ni jinsi ya kuweza kuacha kutamani maisha ambayo sina.uwezo nayo, tamaa ambazo mara nyingi zinataka kunirudisha nilipotoka.
Mambo hayo si jambo moja kama tunavyolichukulia. Hapo kuna mambo mawili kwa pamoja, yaani tamaa ya mwili na tamaa ya pesa. Tamaa ya mwili peke yake ni janga lenye mjadala na ushauri unaojitegemea. Kwa tamaa ya pesa haijalishi mwili unatamani ama la. Ni kazi.
Ninavyoona mada yako imejikita kwenye sehemu ya pili, kwenye tamaa ya vitu. Hii ni rahisi sana ku-"recover" kuliko kama ungekuwa "teja".
Yaani umalaya wa tamaa ya mwili nilioanza kuujadili hapo juu. Umalaya wa tamaa ya mwili, kuuacha yahitaji ushauri wa counseller kamili, kama vile unataka kuacha pombe,sigara na madawa ya kulevya. Lakini hili la tamaa ya vitu, ni jambo jepesi hata kulishauri.
Kwanza umesoma hadi chuo, umeelimika na kujitambua kabla haujawa kikongwe, hongera. Unafaa sasa kujiajiri ama kuajiriwa,ili uwe na kipato chako cha uhakika kukidhi mahitaji yako binafsi na kuepuka kutamani vya bwerere. Kama upo "serious" ni rahisi sana kuachana na hiyo tabia.
Kwani pesa kitu gani? Pesa inatafutwa. Tafuta pesa kwa jasho lako kwa kutumia washauri wa kibiashara ama ujasiriamali na mwisho wa siku utatoka bila shida na Mungu atakusaidia.
Nakupongeza pia kuwa muwazi kwa maisha halisi uliyoyapitia,kuliko "changu- from no where" kujivalisha ngozi ya kondoo na kujilengesha kuolewa. Wee! Muoaji mbona utajuta kuzaliwa. Wewe ukipata mme wa kukuoa, waweza kuwa mke mzuri sana na mwema, kwasababu kwenye tasnia nzima ya malovee ni "much know". Pia unajutia maisha mabovu uliyoyapitia.
Kuliko hawa tunaopigiwa vigeregere siku ya harusi kuwa 'jamani mwanetu harusi imesema'. Wapi! Uongo, hadaa na unafiki mtupu. Watu washazaa,lakini ushangae,siku ya harusi eti 'harusi imesema'! Dunia imejaa wanafiki hii!
Yote ninayoshauri hapa nina experience nayo sana. Na ukitaka uni- pm nikupe ushauri mkanda mzima.
Maana pia hapa kunawanafiki wengi tu. Mtu kabla ya kutoa ushauri,anaanza kushangaashangaa! "sijui miaka9,sijui tigo, cjuinini" Sasa, kwenyeushauri "inahu"?
 
Amani iwe nawe mpendwa.
Hakuna kiasi cha pesa ambacho kinafikia thamani ya binadamu bila kujali kuwa binadamu huyo amepitia mapito yapi. Kama unafikiri kwa kutoa mahari "unalipia" thamani ya mke unayemuoa unakosea sana. Binadamu tumejawa na roho ya kuwa judgemental sana. Heri yako wewe ambaye ni mtakatifu na hutendi dhambi. Usher-smith

we neemababy hujanielewa
Nimezungumzia mahari( shukrani kwa wazazi wa mke) na ulinzi wa mtoto wa kike katika jamii ya kitanzania......
Hukulindwa ndio maana umepitia hayo
We umekimbilia kuona mm najisifia mtakatifu dah [emoji29]

Amani iwe nawe pia mpendwa
 
Mmh!...kazi ipo.tuyaoa kweli kwa mtindo huu?ee baba Mungu shuka usaidie watu wako
 
Dah utakuta jamaa zamani aliwahi kutupa nyavu akajibiwa mimi siyo size yako kwanza huna pesa.

Manzi akateleza kwa gari kuwahi penta cocks show ya usiku kucha...jumlisha na huo msururu wa ma mates.

Highways zote zimewahi kuwa na msongamano mkubwa wa semi,...team no free P kwanzi tisa ambapo msela alikuwa hajabalehe.

Leo inanunuliwa Bible ndogo yenye margin nyekundu, blouse ya purple na skirt nyeusi yenye urefu wa 1.5M...hapo TAG ni mara saba kwa juma....na neno kuu ni mpendwa.

Kamsela ndio kameajiriwa kwahiyo dinar zipo....anaingizwa kingi na mistari ya kitabu....analipa mahari plus gharama nyingine lazima agote 10M....harusi kubwa na na faraja kibao.

Naye anaungana na wapendwa kuimba ''mke mwema anatoka kwa Bwana''....ila kiuhalisia ni mabwana....Kweli uanaume ni kazi na kipaji pia....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom