masara
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,738
- 2,289
Hivi kondomu huwa inaradha kweli..mimi nilishaacha siku nyingiCondom adimu sehemu zote mkuu nafikiri jiwe anataka kutuua kwa ngoma ila sio mbaya mwana mi ni mwendo wa kavu tu
Hivi kondomu huwa inaradha kweli..mimi nilishaacha siku nyingiCondom adimu sehemu zote mkuu nafikiri jiwe anataka kutuua kwa ngoma ila sio mbaya mwana mi ni mwendo wa kavu tu
Umenikumbusha nilipokuwa shule, bording..rafiki yangu alishawahi vyaa mfuko mweusi wa sh.50 kama mbadala wa kondomu..ila aliuchana size anayotakaTafuta vile vifuko vyeupe vya plastick na rubber band kivae halafu kwa juu kibane,,,,, kwisha kazi
Wewe unaweza kukubali kuingiziwa na hilo limfuko leupe??Tafuta vile vifuko vyeupe vya plastick na rubber band kivae halafu kwa juu kibane,,,,, kwisha kazi