Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,200
Tunakoenda sasa nafikiri kauli mbiu ya serikari yetu itakuwa ni "VIJANA KUFA NA UKIMWI NI LAZIMA"
Sasa hivi Condom zimekuwa Adimu kama Dhahabu,
Unaweza kuzunguka maduka kibao ukizitafuta na ukibahatika kuzipata ni kuanzia 2k, siku hizi zile za jero hakuna tena,
Vijana vitombi Tujiandae kufa na Ukimwi na Ongezeko kubwa la Single Mama kitaani.
Cc Zero IQ