101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,040
- 2,122
Habari wakuu
Jana wakati narudi home majira ya jioni njiani nilikuwa nasikiliza radio kile kipindi cha Amplifaya cha Clouds Fm, kinachoendeshwa na mtangazaji Millard Ayo
Katika zile story zake kumi za siku mojawapo ikawa hii ya upungufu wa condoms katika maeneo mbalimbali ya mji wa Njombe
Upungufu huu unatishia kuongezea maambukizi ya UKIMWI katika mkoa huo huku ikizingatiwa kuwa mkoa huo ndio unaoongoza katika takwim za maambukizi ya UKIMWI hapa nchini
Je, condoms Ni biashara nzuri huko Njombe?
Upungufu huo umejitokeza katika nyumba za kulala Wageni, Bar, Lodges na hotel za mji huo.
Je wakazi wa njombe ni kweli wanapenda kudinyana?
Sent using Jamii Forums mobile app