Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Huu ndio uthibitisho wa kwanini mademu zenu walikimbilia huku
God save us
God save us
You can fly them to KIA, in spite the fact yhat you are our jealousy neighbour.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Fursa ya biashara hii, wenzetu kule muda wote huwaza hiki kitu....
Mnafinyana kavu kavu?😅😅 Mandugu kunaendaje
Haha naija wamezidi, hatar zaidi STD'S na HIV, Unprotected sexual intercourse ni hatar katika zama hizi ukizingatia Njombe nyoya lipo lakutoshaDuh...Sasa Tutakuwa na Population explosion.....kama Naija tu
Fursakibao msichana wa Kenya hawezi kuja LDC hivi hivi lazima kuna kitu anatafuna huku akituma remittances nyumbani na akikimaliza anarudi nyumbani kula bata. Diamond kitakachompata tutaweka uzi hapa ufahamu Nyang'au ni Nyang'au tu.
LaivHapo kwenye Note yako, Ututake radhi Watu wa Njombe. Hivi mbona Ninyi watu mnapenda kutuonea sana sisi watu wa Njombe??, tumewakosea nini Jamani?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila consumer wa condom anakodi gestiEty Condom kupanda bei kuanzia 1,000 - 3,000.. Hv nyie mnaakili kweli..!!!
Mnakodi guest, mnakunywa na kula vizuri then mnaongana mapesa mengi Alafu uone hasara kutoa buku kununua Condom..HV hyo buku na afya yako kipi ni muhimu..
Tatizo uzinzi umezidi sana kanda hizo.. Mpunguze basis hyo tabia