Njombe: Mwenyekiti na Mkurugenzi wa DP World atua mkoani kwa ajili ya uwekezaji

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya DP World ya Dubai Sultan Ahmed bin Sulayem mara baada ya kusaini mkataba wa uendelezaji na uendeshaji wa sehemu ya bandari ya Dar es Salaam amefika mkoani Njombe kwa lengo la kutazama fursa mbalimbali za uwekezaji.

Pamoja na Mambo mengine ugeni huo umekutana na uongozi wa mkoa wa Njombe akiwemo mkuu wa mkoa huo Anthony Mtaka na mkuu wa wilaya ya Njombe Kissa Kasongwa na kujadili kufanya uwekezaji kwenye eneo la Utalii,Ujenzi wa Hotel kubwa yenye hadhi ya nyota 5,Kilimo cha chai na mazao ya Miti pamoja na Uwekezaji mkubwa kwenye eneo la Madini ya Chuma na Makaa ya Mawe.

Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ujumbe huo umefika mkoani Njombe ikiwa pia kunafanyika maonesho makubwa ya nne ya Sido kitaifa mkoani humo ambapo pamoja na fursa zilizopo katika mkoa wa Njombe lakini wameweza kumkaribisha kufanya uwekezaji pamoja na ujenzi wa uwanja wa Ndege.

"Ninamshukuru Rais Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kufungua fursa za kiuwekezaji nchini,leo hii muwekezaji mkubwa katika bandari yetu ya Tanzania amefika Njombe akiongozana na mfanyabiashara mkubwa akitokea nchini kenya na ameahidi atafanya uwekezaji eneo la ujenzi wa hotel za kitalii"amesema Mtaka
IMG_20231023_195506.jpg

View attachment 2790512View attachment 2790513View attachment 2790515View attachment 2790514
 
Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya DP World ya Dubai Sultan Ahmed bin Sulayem mara baada ya kusaini mkataba wa uendelezaji na uendeshaji wa sehemu ya bandari ya Dar es Salaam amefika mkoani Njombe kwa lengo la kutazama fursa mbalimbali za uwekezaji.

Pamoja na Mambo mengine ugeni huo umekutana na uongozi wa mkoa wa Njombe akiwemo mkuu wa mkoa huo Anthony Mtaka na mkuu wa wilaya ya Njombe Kissa Kasongwa na kujadili kufanya uwekezaji kwenye eneo la Utalii,Ujenzi wa Hotel kubwa yenye hadhi ya nyota 5,Kilimo cha chai na mazao ya Miti pamoja na Uwekezaji mkubwa kwenye eneo la Madini ya Chuma na Makaa ya Mawe.

Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ujumbe huo umefika mkoani Njombe ikiwa pia kunafanyika maonesho makubwa ya nne ya Sido kitaifa mkoani humo ambapo pamoja na fursa zilizopo katika mkoa wa Njombe lakini wameweza kumkaribisha kufanya uwekezaji pamoja na ujenzi wa uwanja wa Ndege.

"Ninamshukuru Rais Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kufungua fursa za kiuwekezaji nchini,leo hii muwekezaji mkubwa katika bandari yetu ya Tanzania amefika Njombe akiongozana na mfanyabiashara mkubwa akitokea nchini kenya na ameahidi atafanya uwekezaji eneo la ujenzi wa hotel za kitalii"amesema MtakaView attachment 2790480
Mbon hajavaa kanzu na kitambaa kichwani anatukuchukuliaje?
 
Pamoja na Mambo mengine ugeni huo umekutana na uongozi wa mkoa wa Njombe akiwemo mkuu wa mkoa huo Anthony Mtaka na mkuu wa wilaya ya Njombe Kissa Kasongwa na kujadili kufanya uwekezaji kwenye eneo la Utalii,Ujenzi wa Hotel kubwa yenye hadhi ya nyota 5,Kilimo cha chai na mazao ya Miti pamoja na Uwekezaji mkubwa kwenye eneo la Madini ya Chuma na Makaa ya Mawe.
Hiyo mikataba wanaifanya siri kuna agenda gani nyuma ya pazia? Isijekuwa wanatuletea utawala ule wa kisultani kiujanjaujanja mwisho wa siku waiache nchi mifupa tupu, gas wameuza, madini wameuza mafuta nayo wamegawa sasa wanaokoteza vilivyobaki
 
Back
Top Bottom