Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 56,037
- 105,704
Kwani mabeberu yamegoma kutengeneza kondomu nyingi na kutuletea au wamekataa kuzileta tu?
Duuu wanaume hawajatahiriwa ??? Kama kitu hujui bora ukae kimyaaSio Kuadimika, Ni hakuna: Njombe na Iringa hasa sehem Zenye baridi sana kama Mapanda Igeleke Ludewa na Makete,Mafinga na Makambako kuna sehem zipo remote sana na hata upatikanaji wake ni wa shida sana mwaka mzima hivyo matumizi ya condom huko ni jambo la ajabu!
Maaambukizi ya ukimwi huko yapo juu sana maana ngono zembe ni jambo la kawaida!
Pombe kule ndo kwao wanakunywa Ulanzi sana watoto mpaka wazee.
Ngono zembe kwa sana kwenye vilabu vya pombe
Ukimwi umeahika kasi sana. Maambukizi.yapo.juu
Note:Wanaume wengi mkoa huu hawajatahiriwa:
Research zipo mkuu unakataa nn? Nenda Makete nenda sehwmu inaitwa Mapanda ujionee rate ya ukimwi na wanaume wasiotahiriwa!
Mi huwa naandaa mabox yangu mwenyewe popote pale maana huwezi jua zari litapatikana muda ganiUkiwa una safari ya njombe bora ujibebee tuu maboksi yako ya kutosha kama huna stamina,.hali si shwari...
Uko makini chief..Mi huwa naandaa mabox yangu mwenyewe popote pale maana huwezi jua zari litapatikana muda gani
Sana kwenye begi langu kila ukaguapo lazima ukute viwili vitatu vya kunilindaUko makini chief..
Hahaha game popote..oiiSana kwenye begi langu kila ukaguapo lazima ukute viwili vitatu vya kunilinda
HahahaHahaha game popote..oii
Umesema huko ulipo hamtumii,inaonekana kupo salama...
Hapo kwenye Note yako, Ututake radhi Watu wa Njombe. Hivi mbona Ninyi watu mnapenda kutuonea sana sisi watu wa Njombe??, tumewakosea nini Jamani?.Sio Kuadimika, Ni hakuna: Njombe na Iringa hasa sehem Zenye baridi sana kama Mapanda Igeleke Ludewa na Makete,Mafinga na Makambako kuna sehem zipo remote sana na hata upatikanaji wake ni wa shida sana mwaka mzima hivyo matumizi ya condom huko ni jambo la ajabu!
Maaambukizi ya ukimwi huko yapo juu sana maana ngono zembe ni jambo la kawaida!
Pombe kule ndo kwao wanakunywa Ulanzi sana watoto mpaka wazee.
Ngono zembe kwa sana kwenye vilabu vya pombe
Ukimwi umeahika kasi sana. Maambukizi.yapo.juu
Note:Wanaume wengi mkoa huu hawajatahiriwa: