Computer games za watoto

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,648
12,254
Heshima kwenu wote,
Poleni na majukumu ya kupambana na Covid 19
Hakika tutaushinda kaugonjwa haka.!
Baada ya salamu niende kwenye ombi langu.
Naomba kupata soft copy ya computer games kwa ajili ya watoto hasa nyakati hizi ambazo watoto wapo nyumbani wakiogopa Korona.
Mwenye nazo naomba tuwasiliane PM.
Asanteni.
Stay at home!!
 
Back
Top Bottom