ur talking too much between the facts.........by the way sizungumzii kiongozi mmoja mmoja hapa.............massive numer ya viongozi wa CDM hawataki kuoa wala kuolewa..hii ndo point ya msingi...........hujaoa nini?
Nenda mbele zaidi kidogo. Hawana watoto? Hawawajibiki kwenye familia walikozaliwa? Unawaona mabarabarani wakifanya uhuni na kulewa pombe TU?ur talking too much between the facts.........by the way sizungumzii kiongozi mmoja mmoja hapa.............massive numer ya viongozi wa CDM hawataki kuoa wala kuolewa..hii ndo point ya msingi...........hujaoa nini?
AshaDii,
Urais ni TAASISI. Unakuwa na watu wa kukusaidia KUONGOZA. Unakuwa na watu wa kukusaidia kazi hizi za urais. Unakuwa na WASHAURI. Mkeo au Mmeo ni wa lazima katika haya MAISHA mengine.
Inahusisha nidhamu, haina maana kuwa mtu ambae hajaoa hana nidhamu, ila ukweli unabaki kuwa mtu ambae ameoa, anafamilia na ni kiongozi wa hio familia walau probability ya nidhani hapo ni kubwa kuliko ambae hajao.
Nenda mbele zaidi kidogo. Hawana watoto? Hawawajibiki kwenye familia walikozaliwa? Unawaona mabarabarani wakifanya uhuni na kulewa pombe TU?
AshaDii,Tunapishana padogo... Sisemi mtu kama hajaoa hawezi kuongoza. Nasema kuwa mtu ambae kaoa walau ana probability kubwa ya uwezekano wa yeye kuwa reliable kuliko ambae bado.
WildCard naamini kabisa umenipata namaanisha nini... Kama ulivosema Uraisi ni Taasisi, ukiangalia post yangu nimegusia kuwa familia ni taasisi ndogo ambayo inaweza toa picha ya jinsi gani mtu anaweza ongoza taasisi kubwa; which in this case ni hio ya 'Urais'.
Dr Slaa ana watoto wakubwa tu. Zitto naye huwa namwona maeneo ya chuo pale ana katoto kazuri tu. Hata wewe huenda haukuzaliwa na baba mwenye ndoa na mama yako! Tuyaache hayo. Kuna makabila mwanamke anaoa "mke" pia.he!! hao watoto anazaa na wahudumu wa baa au?...then walelewe na nani...yeye kalelewa na baba na mama yake hao watoto wapelekwe vituoni au?
kuwajibika kwenye familia wanazotoka ni kawaida..ten autaifanya vizur zaidi endapo na ww unafamili ayako..........ndoa ni heshima!! mwanaume asieoa hawez kupatiwa heshima..hili tumeliona wana CDM..hatutaki liwe mtaji kwa CCM.......vijana waoe wawe responsible na wapate heshima inayostahili...
kwa nini umeoa au hujaoa?@mkonowapaka
Mtu asiyeoa hawezi kupatiwa heshima na nani?
Mbona hatujaona hao walokuwa hawajaoa kukoseshwa heshima hiyo?
kwa nini umeoa au hujaoa?
Hello JF......
ni mara chache sana kupost jukwaa hili...mara nyingi huwa ni mchangiaji au msomaji wa masuala mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea kutokea kila siku nchi hii..........
Upepo wa kisiasa umeendelea kuibadili nchi yetu kila kukicha....si jambo la ajabu kukuta watu wamekaa tena vijijini wakijadili mambo mbalimbali ya kisiasa....
nakipongeza pia chama changu cha Chadema kwa kuendelea kuwaamsha watanzania walio wengi juu ya mambo muhimu yanayowahusu na wanachopaswa kukifanya...binafsi nimeamshwa zamani sana.........
sina shaka na uwezo wa wana CDM katika kuwamsha watanzania walio wengi ........katika kujazia kile kilichozungumzwa na bwana Sita leo.........naomba pia safu nzima ya wana CDM kila mmoja kw anafasi yake ajitazame upya status yake maritually..........viongozi (wa CDM) wengi wao wamekua na status zinazofanana na sio sifa nzuri kwa kiongozi hasa wa kiafrika.kama kweli tunatetea tamaduni zetu za Kitanzania tulizorithishwa na babu zetu basi tuliangalie na ilo,na kama kweli tunajiandaa kuchukua dola ya nchi hii..tujipange safu hiyo....................huu ni mtazamo wangu na wala siwakilishi mawazo ya mtu mwingine...viva CDM
Ndoa inatowa picha ya reliability ya huyo mtu (ingawa sio cases zote); Huwezi fananisha reliability na comittment ya Mwanaume/Mwanamke ambae yupo ndani ya ndoa na yule ambae ni nje ya ndoa hasa kwa mambo ambayo ni ya msingi katika maisha ya kila siku. Na hio ndio ilikuwa inamsumbua sana Mzee Slaa katika kusafisha kashfa ambazo zilikuwa zikurushwa kwake dhidi ya tuhuma za kuishi na kimada badala ya mke na watoto.
inabidi waoe huwezi kupingana na ndoa kwamba eti sio lazima kuoa... hii ni aibu kwa chama kuwa na viongozi watu wazima tena umri umeenda ambao hawajaoa unless kama SI WAZIMA...
Kwa wanawake huwezi wasisitiza waolewe coz maamuzi yako kwa mwanaume... ila ZITO na wenzako mnamatatizo gani? nendeni india kama mambo sio mazuri..!
AshaDii,
Kwangu mimi ambaye nimeishi kwenye NDOA kwa zaidi ya miaka 20 sasa, Taasisi hii ni kubwa na ngumu sana kuongoza kuliko taasisi ya URAIS. Ndoa haina KATIBA. Ndoa haina Cabinet. Ndoa haina NEC na CC. Ndoa haina WASHAURI. Ndoa yangu haifanani na ndoa nyingine yoyote, zilizokuwepo, zilizopo na zitazokuwepo. Ndoa haimsaidii mtu kuongoza NCHI.