mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Kwa hiyo unawalazimisha waoe na kuolewa just bse of siasa za majitaka...!
Rais wa Botswana hajaoa.
Na Botswana imetupita kiuchumi mpaka uongozi bora na demokrasia.
Go figure.
Too low!
Ndoa ni kielelezo cha nidhamu
Rais wa Botswana hajaoa.
Na Botswana imetupita kiuchumi mpaka uongozi bora na demokrasia.
Go figure.
Ndoa ni kielelezo cha nidhamu
True but it's not the only criteria. Tunawaona wengi wenye ndoa lakin hawana nidhamu kbs
Ndoa ni kielelezo cha nidhamu
Mfano rais wa sasa ameoa na ana nidhamu kweli kweli. Tena ndoa yake imetusaidia kweli kuondoa umaskini, kushusha mfumuko wa bei hadi kufikia neg 20%.......na kuifanya tanzania kupiga hatua kubwa kimaendeleo hadi kuwa katika kundi la nchi zilizoendelea!Ndoa ni kielelezo cha nidhamu
Kinachoongoza ni akili ya mtu na si utupu wake. Unless kama kuna tafiti zilizofanyika kuthibitisha kuwa ubungo wa binadamu siku hizi upo kwenye utupu.Ndoa inatowa picha ya reliability ya huyo mtu (ingawa sio cases zote); Huwezi fananisha reliability na comittment ya Mwanaume/Mwanamke ambae yupo ndani ya ndoa na yule ambae ni nje ya ndoa hasa kwa mambo ambayo ni ya msingi katika maisha ya kila siku. Na hio ndio ilikuwa inamsumbua sana Mzee Slaa katika kusafisha kashfa ambazo zilikuwa zikurushwa kwake dhidi ya tuhuma za kuishi na kimada badala ya mke na watoto.
Kule Marekani na Uingereza VIONGOZI wanaongoza kwa mujibu wa SHERIA. Wanaongoza kwa mujibu wa KATIBA zao. Hapa kwetu ukiwa na mke na watoto wenye nguvu wanakuwa WABIA wako kwenye URAIS. Wanakusaidia kuteua. Wanakusaidia kutawala. Wanakuandalia hotuba. Wanakulazimisha kuiba. Wanakuingiza kwenye madili ya ajabu. Unafanya biashara hadi IKULU yetu.kabisa family life or marriage life is important to society...maana ukiwa kama kiongozi ndio unatakiwa uwe mfano kwa jamii...sasa kama mtu ukok solo unakaa ikulu matokeo yake utaanza kuwaingiza akina wema sepetu ikulu sasa kama baadhi ya viongozi tunawaona wanavyofanya bt ikulu au sehemu ya heshima inatakiwa kiongozi awepo pale na familia yake...Huwezi kuona nchi ka america or britain kiongozi yuko solo