Yaani akifika baa akaagiza bia ya moto muhudumu akakosea akaleta ya baridi halafu akafungu..... huo mziki wake utadhani katukaniwa mama yake
Kosea umkanyage kwenye daladala sasa, au umchomekee yupo na ka virtz kake

Kaoe kwake sasa utalipa hadi kikoi cha marehemu babu wa mjomba wake bila hivyo hakuna ndoa
Ila yeye sasa akikosea atakavyo kuwa mkali kuhalalisha kwanini kakosea

Yaani huwa wanataka vitu viende kwa mujibu wa mtazamo wao tu..... kinyume cha hapo changamoto sana hawana subira, wabinafsi, wajuaji, wana ego sana ila wanakuaga na akili mingi sana
Ni mfano tu