Complex person ni mtu gani?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,447
3,420
Habari Wanabodi

Nimeona quotes mbalimbali kuhusu complex person, je hawa ni watu wenye traits zipi?

Je umeshawahi washuhudia? Inasemekana ni watu wenye kuvutia at the same time ni dangerous people.

Ni watu vigumu kusomeka na kutabirika, ni watu wasiotabirika kifikra, kimaamuzi na kivinginevyo

Je, unajua nini kuhusu watu hawa, Je umeshawahi washuhudia? Toa experience yako

JF, home of Tanzanians great thinkers!

(3b28c3c5c5a3138a415ac10f3cbb89a2).jpg
 
Hawa hawatabiriki, mara nyingi hujiangalia wao, kwenye situations mbalimbali si rahisi kujua anachokifikiria Hadi aseme au afanye, kuwa tofauti na wengine kimawazo siyo dhambi kwake, Hawa wapenzi wao huvumilia mengi sana na kufanya kazi ngumu au ndefu siyo shida kwao ilimradi iishe (mzigo mzito mpe mnyamwezi), kuwa busy kwao siyo ishu na ukitaka kazi yako iishe mpe mtu wa aina hii ila kama ukimpa kazi usijali kuhusu muda maana anaweza asiimalizae Kwa muda unaotaka for different reasons but mind you lazima iishe tena vizuri...Kuna tofauti ndogo au mstari mwembamba unaotofautisha kati ya complicated person na mtu/watu wajuaji, wabinafsi, wachoyo, wasiojiamini, wenye ego and the likes!.
 
Ahaa, kwa ulivyamalizia inaonesha ni watu wenye bad personality kimtindo
 
Hawa hawatabiriki, mara nyingi hujiangalia wao, kwenye situations mbalimbali si rahisi kujua anachokifikiria Hadi aseme au afanye, kuwa tofauti na wengine kimawazo siyo dhambi kwake, Hawa wapenzi wao huvumilia mengi sana na kufanya kazi ngumu au ndefu siyo shida kwao ilimradi iishe (mzigo mzito mpe mnyamwezi), kuwa busy kwao siyo ishu na ukitaka kazi yako iishe mpe mtu wa aina hii ila kama ukimpa kazi usijali kuhusu muda maana anaweza asiimalizae Kwa muda unaotaka for different reasons but mind you lazima iishe tena vizuri...Kuna tofauti ndogo au mstari mwembamba unaotofautisha kati ya complicated person na mtu/watu wajuaji, wabinafsi, wachoyo, wasiojiamini, wenye ego and the likes!.
Mbn kama unanisema mm mkuu hapa
 
Yaani akifika baa akaagiza bia ya moto muhudumu akakosea akaleta ya baridi halafu akafungu..... huo mziki wake utadhani katukaniwa mama yake
Kosea umkanyage kwenye daladala sasa, au umchomekee yupo na ka virtz kake
Kaoe kwake sasa utalipa hadi kikoi cha marehemu babu wa mjomba wake bila hivyo hakuna ndoa

Ila yeye sasa akikosea atakavyo kuwa mkali kuhalalisha kwanini kakosea

Yaani huwa wanataka vitu viende kwa mujibu wa mtazamo wao tu..... kinyume cha hapo changamoto sana hawana subira, wabinafsi, wajuaji, wana ego sana ila wanakuaga na akili mingi sana

Ni mfano tu
 
Yaani akifika baa akaagiza bia ya moto muhudumu akakosea akaleta ya baridi halafu akafungu..... huo mziki wake utadhani katukaniwa mama yake
Kosea umkanyage kwenye daladala sasa, au umchomekee yupo na ka virtz kake
Kaoe kwake sasa utalipa hadi kikoi cha marehemu babu wa mjomba wake bila hivyo hakuna ndoa

Ila yeye sasa akikosea atakavyo kuwa mkali kuhalalisha kwanini kakosea

Yaani huwa wanataka vitu viende kwa mujibu wa mtazamo wao tu..... kinyume cha hapo changamoto sana hawana subira, wabinafsi, wana ego sana nk

Ni mfano tu
Hahahahaha
 
Complex Person ni yule mtu ambae unazani unamjua kwa undani kumbe haujui kitu chochote kuhusu yeye na mwisho wa siku utabaki unashangaa tu na usimuelewe ... Ni watu ambao hawatabiriki na mara nyingi wanakuwa wasiri mno

Kila anachokifanya complex person kinaleta majibu ya kushangaza either in positive or negative ways

Complex people are curious, intelligent, and imaginative people who generally think outside of the box.
 
Yaani akifika baa akaagiza bia ya moto muhudumu akakosea akaleta ya baridi halafu akafungu..... huo mziki wake utadhani katukaniwa mama yake
Kosea umkanyage kwenye daladala sasa, au umchomekee yupo na ka virtz kake
Kaoe kwake sasa utalipa hadi kikoi cha marehemu babu wa mjomba wake bila hivyo hakuna ndoa

Ila yeye sasa akikosea atakavyo kuwa mkali kuhalalisha kwanini kakosea

Yaani huwa wanataka vitu viende kwa mujibu wa mtazamo wao tu..... kinyume cha hapo changamoto sana hawana subira, wabinafsi, wana ego sana nk

Ni mfano tu

Mkuu umetisha sana, inaonekana unawafahamu vyema sana
 
Back
Top Bottom