LOWASSA ni sepp blatta na PINDA ni tenga! hakuna ulinganifu. upupa wa lowasa ni bora kuliko kutokufanya kitu kbs. pinda hana maamuzi....
LOWASSA ni sepp blatta na PINDA ni tenga! hakuna ulinganifu. upupa wa lowasa ni bora kuliko kutokufanya kitu kbs. pinda hana maamuzi....
Mkuu womanizer,
inaonekana unapenda sana vya bure brother.
NI sawa swa kulinganisha mvivu na mwizi . unauliza nani anafaa . Katika wenye mapungufu hayo kama ni lazima nichague mmoja bora nichague mvivu kuliko mwizi.
Katika analogy yangu hiyo Pinda ni sawa na "mvivu" na Lowasa ni sawa na "mwizi"
No matter awe na sifa gani sijui uchapa kazi mwizi ni mwizi tu . mtu akiwa mdokozi haachi hata apewe U PM au Urais bado haamini kuwa atapatiwa huduma mpaka kifo .Bado anakula dili .
Yaani kifupi no matter uwe mchapa kazi vipi kama ni mlafi ni kazi bure . Sifa zote zinakuwa deleted mpaka kwenye recycle bin
kama lowassa ni fisadi basi kila mtanzania mwenye ka uwezo ni fisadi ......mi nachojuwa lowassa ni mchapakazi.... Kazi binafsi na za umma.......tatizo la wana jamii hapa wanataka viongozi wawe kama slaa mshahara au posho inakuwa gumzo ......hakuna asie fisadi tanzania kama yupo atuambie....tuanze kuwaelezea kiongozi mmoja baada ya mwingine ccm,cdm,tlp,cuf kama atapona mtu.......ni kuzidiana tu...
Ndugu zanguni kama tukiendelea na Pinda akiwa katika nafasi ya waziri mkuu sidhani kama 2015 tutafika. Ni mdhaifu sana kimaamuzi na mapungufu kibao ambayo sina haja ya kuyaorodhesha hapa kwa uchache mfano jinsi anavyo shughulikia tatizo la madaktari, kulidanganya bunge mambo kadha na mengineyo. Fagio lililo wapitia baadhi ya mawaziri bora na huyu jamaa lingempitia. Amefanya blunder nyingi kimaamuzi na sidhani kama huwa anafikiria kabla ya kutenda. Mtangulizi wake Mh.Lowasa sidhani kama suala hili la madaktari lingempa shida kama tunavyo shuhudia sasa. Aliingilia raisi lakini kutokana na udhaifu wake yakawa yale yale.
Iwapo watanzania wangekubali kusamehe makosa iwapo mkosaji atatubu ni bora wange msamehe Lowasa akarudi kutushikia kiti cha uwaziri mkuu.
kujenga mashule bila walimu kazi bure ukienda sehemu nyingine shule kibao hakuna walimu na waliopo yebo yebo kuwalipa hawataki tatizo ndio hilo alitaka kuweka historia yeye alijenga shule nyingi cha msingi ni kuandaa kwanza walimu na mitaala ya elimu sio kujenga tu shule
kwa ufuatiliaji maybe lowasa alikua anafuatilia ila kwa style ile udictator sehemu nyingine noma ili kua nafikiri baadhi ya watendaji walishukuru sana kuondoka kwake