Comoro: Shein awekwa Baka Bencha

Comoro: Shein awekwa Baka Bencha

selemonio president huyo, zanjibare ni mkowa wa Twanganyika tu
 
Mukumbuke Shein anatambuliwa na museveni tu na yule wa burundi...sijui Nkumaliza sijui nani...lakini rwanda na kenya hawajampongeza.
Nchi nyingi hawamtambui na wamegomea mamno yalivo kwenda. na pale angekwenda Mahiga basi wange muweka pazuri na heshima. Huyu hatambuliwi kama rais halali.tulifanya makosa kumpeleka...na wafaransa wapo nyuma ya comoro pamoja na EU ..inaonekana walipelekw salamu
China wanamtambua vizuri tu
 
hata sijaelewa kwa nini huu uzi page zinakimbia haraka,
naomba kuuliza tu
kwani wale aliokaa nao pale sio maraisi wa nchi?
 
Mgeni kutoka Tanzania anacheo gani? ... Ni waziri asiye na wazira maalum, lakn ni rais wa Zanzibar! Zanzibar ndiyo nini, ni koloni la Tanzania... Ok Weka kule nyuma!
Haahaaaaaaaa mkuu utatuvunja mbavu hahaaaaaaaaa.
 
hapo juu panamsaidia kuona vizuri pia ingawa namuona hayuko happy kabisa...ukiangali wa mbele yake ni warefu zaidi
Anatafakari sijui kwenye msosi itakuwa hivihivi! Lakini pale yupo juu anaona zaidi ya waliombele yake.Mpambe ndio hana raha
 
Acha ulofa wewe! So wavunje protocol zao kwa kuwa uliwapa msaada wa kijeshi na chakula? Wewe ndio type ya wale watu mnaowasidiaga wadogo zenu halafu mnawadhalilisha, yaani kwa kauli yako wewe ndio unapenda kwa kuwa unamsaidia mdogo wako basi utembee na mke wa mdogo wako nae akae kimya! Shenzi kabisa wewe
lofa wewe hapo na ushukuru ulisoma wakati Ndalichako hajawa waziri kwani ungeshatimuliwa kwa kukosa sifa
 
Mh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.

Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.

View attachment 351261

Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.
kwani wakomoro hawajui kuwa kapora ushindi wa maalim seif
 
Kamata benchi, eeh kamatatia benchi , kamata chuma eeh kamatia chuma....kama , kama , kama x2 ( kwahisani ya Navy kenzo)
 
Bora
Kweli mie punguwani na tulikuwa tunatumia dawa pamoja na Bi mkubwa wako wakati akiwa na ujauzito wako huenda ndio maana wewe umekuwa kichaa kabisa.[/QUO
Bora mimi nilikuwa tumboni madhara madogo kama wewe ulivuta na unatumia kitwanga sioni tena UMUHIMU wa kuendelea kukujibu! Nimekuweka kwenye ignore list
 
Back
Top Bottom