Kweli humu Jf kuna vilaza wa Itifaki, hata kama hujui protoco,maelezo uloyatoa hapo unahisi una kitu kichwani? Muwe mnauliza wa karibu yenu kabla ya kupost jambo hapa Jf.Mh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.
Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.
View attachment 351261
Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.
Kwa hiyo kwa itifaki ilistahili kukaa kwenye ile chobingoKweli humu Jf kuna vilaza wa Itifaki, hata kama hujui protoco,maelezo uloyatoa hapo unahisi una kitu kichwani? Muwe mnauliza wa karibu yenu kabla ya kupost jambo hapa Jf.
Yawezekana. Maana namwona akiwa "sambamba" na viongozi wa "Saudi Arabia", "Shelisheli" "Turkey"na "Tasmania"......huenda walifuata alfabeti za nchi
Wakomoro wanajua kuwa alifanya uchunguzi feki hakuingia ikulu kwa njia za haki ndiyo maana wanamdharau mpaka wakaamua kumpeleka kukaa kule nyuma kwenye kunguni.kwani wakomoro hawajui kuwa kapora ushindi wa maalim seif
walimwalika Magufuli tu yeye hawakumwalika hawawezi kumwalika mtu aliyekuwa Rais kwa njia haramuKwani alipewa mwaliko?au alijipeleka tu?
Ptotoco gani? Itifaki ni kuwekwa akae na wafanya usafi wa uwanja? Kule nyuma ndipo ilipo itifaki ya comoro?Kweli humu Jf kuna vilaza wa Itifaki, hata kama hujui protoco,maelezo uloyatoa hapo unahisi una kitu kichwani? Muwe mnauliza wa karibu yenu kabla ya kupost jambo hapa Jf.
Yaani mleta mada anaoneka live anamsakama shein vzr sana maana x kwa picture hii nimecheka sanaHahahahaaa mleta uzi...umenivunja mbavu,dah Nimecheka sana.
Alikua anamuuliza "are you OK!"Bodyguard wake anaonekana kama mgambo.
Naona wee Mjumbe hunaMh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.
Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.
View attachment 351261
Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.