Comoro: Shein awekwa Baka Bencha

Comoro: Shein awekwa Baka Bencha

Aibu sana...Angetakiwa agome.
Agome vp wakati alidanganywa kuwa kule nyuma wamekaa viongozi akaenda kukaa alipofika akawakuta Waarabu Wamiliki wa maduka na mgambo wamejazana nyuma akashindwa kugoma, comoro wanajua kuwa aliingia ikulu kwa uchunguzi haramu ndiyo Maana wamemfanyia hivyo.
 
Naona wee Mjumbe huna
uelewa wa who is who ya waalikwa. Huyo
ialiyevaa tai ni Rais wa Bhutan. Kulia kwake wa tatu ni Prince Fouad Al Sabah wa Kuwaiti kumwakilisha you know who. Kulia kwake ni ame wa Sultan wa Darussalaam akimwakilisha mjomba wake. Darussalaam (aka Brunei) has the highest GDP per capita on earth more than California, more than even Gujarati.

Halafu hapa unahitaji kuwa na welewa na
ujue mila na taratibu za watu. Ulaya, mkuu hukaa nyuma; Tanzania boss hukaa na dereva. This is important if the roads are bad. Pia kule mbele kunakuwa na wahamasishaji, na MC, na megaphones kelele zinazibua matatizo. Indeed, beyond Sheni (picha haionyeshi) kuna George Bush, Narendra Modi na Mfalme Mswati wa Tatu. Alipokaa Sheni ndiyo penyewe.
Le Mutuz acha hizo hao waliokaa huko nyuma wote ni wafanyabiashara wadogo wadogo wa kawaida na wengine ni mgambo, madiwani , walinzi na wafanyakazi wa uwanja.hapo hakuna cha George Bush wala wa George Town ! Wala mswati woote ni watu wa kawaida tu, Tambua kuwa comoro wanajua kuwa Shein kaingilia ikulu ya Zanzibar kwa njia haramu hivyo alistahili kukaa na mgambo kule nyuma.
 
Kuna mgambo alitaka kumsachi Shein lakini akaambiwa huyo mwache hana kitu hapo tulipomweka ni Adhabu tosha maana papo karibu na njia ya kwenda toilet kuna harufu na Usumbufu wa kupisha wapita njia kwenda chooni.
 
Le Mutuz acha hizo hao waliokaa huko nyuma wote ni wafanyabiashara wadogo wadogo wa kawaida na wengine ni mgambo, madiwani , walinzi na wafanyakazi wa uwanja.hapo hakuna cha George Bush wala wa George Town ! Wala mswati woote ni watu wa kawaida tu, Tambua kuwa comoro wanajua kuwa Shein kaingilia ikulu ya Zanzibar kwa njia haramu hivyo alistahili kukaa na mgambo kule nyuma.
Naona mkuu umechagua kuamini ujinga; ni hiari yako na uhuru Kikatiba. Asiyejua maana haambiwi maana.
 
Naona wee Mjumbe huna
uelewa wa who is who ya waalikwa. Huyo
ialiyevaa tai ni Rais wa Bhutan. Kulia kwake wa tatu ni Prince Fouad Al Sabah wa Kuwaiti kumwakilisha you know who. Kulia kwake ni ame wa Sultan wa Darussalaam akimwakilisha mjomba wake. Darussalaam (aka Brunei) has the highest GDP per capita on earth more than California, more than even Gujarati.

Halafu hapa unahitaji kuwa na welewa na
ujue mila na taratibu za watu. Ulaya, mkuu hukaa nyuma; Tanzania boss hukaa na dereva. This is important if the roads are bad. Pia kule mbele kunakuwa na wahamasishaji, na MC, na megaphones kelele zinazibua matatizo. Indeed, beyond Sheni (picha haionyeshi) kuna George Bush, Narendra Modi na Mfalme Mswati wa Tatu. Alipokaa Sheni ndiyo penyewe.

Usidanganye watu ...viongozi walokaribishwa kutoka nje wote wapo safu za chini na viti vyao ni tofauti. Hapa shein kawekwa kwenye viti vya kawaida.

Na pia hao jamaa ni wafanya biashara tu na mabalozi wawili wadogo wa oman na kuwait. Hakuna mwakilishi wa nje. Hao waxungu ni wa makampuni ya magutann
 
Wangempa at sit ya katikati ili bodyguard apate kwa kusimama kuliko kumpa sit Karibu na nguzo
 
Mh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.

Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.

View attachment 351261

Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.
Hahahahahahaaaaaa...labda walikuwa wanamtaka maalim seif ndo ahudhurie
 
Haibu sana hii!! Madaraka ya kulazimisha fedhea yake ndiyo hii.
Kama kanyeshewa mvua vile.
 
Back
Top Bottom