Comoro: Shein awekwa Baka Bencha

Comoro: Shein awekwa Baka Bencha

Yupo mstari wa pili ambapo mstari wa mbele ndipo alipo mgeni wa heshima. Hiyo ni nafasi ya kawaida sana kwenye mualiko wa viongozi wengi.
Wakati Mh Magufuli na Samia wakiapishwa Kagame na Zuma nao walikaa mstari wa nyuma kama alipokaa Mh Sheni.
Kweli ukawa mmeishiwa hoja kwa kasi sana. Hivi hii nafasi aliyokaa Mh Shen nayo imewashughurisha bila aibu.
Mnajitaidi kuficha aibu lakini hapa mtu mzima kaibika na hii ndio gharama ya kula kharamu. Teh teh teh eee
 
duh ilibaki tu kumwagiwa shombo la samaki! halali yake lakini maana hata Sugu wa Mbeya alimzidi kura
 
Wamefanya hivyo wakijua kuwa huyo katumwa tu Yaani katumwa kama balozi ndiyo maana katupwa kule nyuma kwenye kunguni
Hahahaha, umenichekesha sana.
Katupwa wapi huyu Diwani wa mchambawima?
 
Kwanini amuwakilishe rais Magufuli wakati na yeye ni rais alitakiwa kuwa na mwaliko wake binafsi! Inakuwaje rais amuwakilishe rais?
Hii ndio mifumo chonganishi na kharamu zilizowekwa na ccm. Ndio maana wazanzibar wanalilia mamlaka kamili lakini wachumia tumbo kama hao walioaibishwa hawaoni hilo wenyewe wanajali mamlaka badala ya heshima ya nchi yao.
 
Aiseee, watajuta kupora ushindi wa maalim Seif
 
Bashe kasema alichokiamini yeye na sijui nini kipo nyuma yake kwani misimamo yake kabla ya uchaguzi alikuwa upande gani wewe na wananchi wote mnajua. Vyombo vya habari ambavyo yeye ni sehemu ya uongozi wake nayo unayajua msimamo wake. Hivyo yeye kusema hayo wala si ajabu kama ilivyo si ajabu kwa Amani Karume.
Uelewe kuwa kuwa mbunge si tiketi ya kuwa kada wa ccm. Kuwa kasa ni wito wa mtu kuguswa na kupambana kuhakikisha ccm inapata kuaminiwa na wananchi wakati wote. Haijalishi analipwa, atalipwa,au hatalipwa yeye kwake chama mbele.Katika watu hao Bashe kwangu hayumo yeye anaijua ccm ya Lowasa kwa sasa yumo ugenini.
Hahahahaaa akili za baadhi ya wana ccm ni kama mfu..kitu gani umeandika aibu tupu na bure kabisa.
 
Mh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.

Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.

View attachment 351261

Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.
Asanteni sana Comoro kwa kuwaheshimu wazanzibar .
 
Hahahaha, umenichekesha sana.
Katupwa wapi huyu Diwani wa mchambawima?

Haya sio diwani tu hata yule wa huku bongland alienda london akaishia kuongea na watanzania wa UK..na juzi pia huko Zambia...haya ni kote kote...
 
Back
Top Bottom