Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Kama kuna mtu yeyote anaishi Comoro, naomba ani PM plz,
Muhimu.
Muhimu.
Stahili yake kabisa. Wala mtu yeyote asijisikie vibayaPoor Mh Shein. Kabananishwa kwenye kona!!!
Darasani tulizoea wale wa back bench ni wale watukutu, sasa sijui na yeye ni miongoni mwaoMh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.
Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.
View attachment 351261
Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.
Namuona katibu kata katulia, sijui Leo kamwacha Wapi mkewe na zile mbuti zake za gonga sneki a.k.a kata funua?Mh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.
Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.
View attachment 351261
Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.
Kwa utaratibu wa alfabeti US and UK will always be almost the last just before Zimbabwe and Zambia. Obama kila mara angejikuta na Mugabe ha ha ha.huenda walifuata alfabeti za nchi
Sasa kama ka nchi kadogo wamemfanyia hivi je akienda kwenye nchi kubwa si watakuwa kwa wauza vitumbua @ joking not seriousKacomoro ni ka nchi kadogo sana hakawezi kuitunishia misuli Tanzania hata serikali yao ilipopinduliwa ni Tanzania ndio iliongoza majeshi ya kurudisha serikali halali iliyochaguliwa isistoshe wanaitegemea Tanzania kwa kiasi kikubwa kwa biashara ya chakula kwa wale mnaojifariji lazima mjue hivyo kama rais wetu atataka maelezo na kuvunja uhusiano nao wao ndio wataathirika zaidi lazima kutakuwa na sababu za kidplomasia za kufanya hivyo

Hao back bencher wana makelele haoDarasani tulizoea walw wa back bench ni wale watukutu, sasa sijui na yeye ni miongoni mwao