Obuma
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,727
- 5,096
Acha ubwenyeye wewe! Nchi hata iwe na ukubwa wa kilometer moja ya mraba protocol lazima ziwepo hata ingekuwa na watu laki!hivyo vi nchi havina cha protokal MTU anakaa popote pale.
Acha ubwenyeye wewe! Nchi hata iwe na ukubwa wa kilometer moja ya mraba protocol lazima ziwepo hata ingekuwa na watu laki!hivyo vi nchi havina cha protokal MTU anakaa popote pale.
ni uchunguzi upi tena mzee.!!Uchunguzi wa Zanzibar ulikuwa haramu wanajua kuwa Shein kasimikwa na Mkoloni Tanganyika hivyo wanamchukulia poa kama mkuu wa wilaya Fulani.
hahahahaNamuona katibu kata katulia, sijui Leo kamwacha Wapi mkewe na zile mbuti zake za gonga sneki a.k.a kata funua?
Sasa kama ka nchi kadogo wamemfanyia hivi je akienda kwenye nchi kubwa si watakuwa kwa wauza vitumbua @ joking not serious![]()
Nimecheka kwa sautiKweli hapo anaona kinachoendelea? heri angeenda bila mpambe akajichanganya kishikaji!
Poor Mh Shein. Kabananishwa kwenye kona!!!
Ishakuwa taabu maamlaka kamili ndiyo dili.Dah, unfairly treated, hasa ukiangalia namna BG anavyo husle kumtuliza, nadhani hii ni dharau ya hali ya juu no matter what.....mtu ana BG unamuweka Last corner na nyuma yake kuna watu..vip usalama wake...?
Anyways......lazima kuna kitu anakumbuka....
Kacomoro ni ka nchi kadogo sana hakawezi kuitunishia misuli Tanzania hata serikali yao ilipopinduliwa ni Tanzania ndio iliongoza majeshi ya kurudisha serikali halali iliyochaguliwa isistoshe wanaitegemea Tanzania kwa kiasi kikubwa kwa biashara ya chakula kwa wale mnaojifariji lazima mjue hivyo kama rais wetu atataka maelezo na kuvunja uhusiano nao wao ndio wataathirika zaidi lazima kutakuwa na sababu za kidplomasia za kufanya hivyo
Nakuja pm plzKama kuna mtu yeyote anaishi Comoro, naomba ani PM plz,
Muhimu.
Karibu.Nakuja pm plz
HayaKaribu.
Haha jaman lolAkae huko nyuma na wauza karanga