communication ya luku na server za tanesco! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

communication ya luku na server za tanesco!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Aristolicius, Sep 4, 2012.

 1. A

  Aristolicius Senior Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  niliporudi nyumbani kwa likizo nilikuta kuna mita za luku nilishindwa kuelewa ni jinsi gani zinavyo communicate na server za tanesco
   
 2. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  wat i think,ni kwamba,zinatumia a certain network,satelite,gps au gprs.na its built in.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  mita za luku hazi communicate kabisa na server za Tanesco kwa sasa.
   
 4. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mkuu funguka; binafsi sijaelewa unamaanisha nini?
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  unaweza kutumia maginetic configaration vofx kuunganisha na luku na server
   
 6. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kwani zamani zilikuwa zina communicate?
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  In future zitakuwa zina communicate.
   
 8. A

  Aristolicius Senior Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  system inayotumika kuingiza umeme ni similar na ile ya kuingiza vocha,so nili expect kutakuwa na communication na server zake ili kujua jinsi umeme unavyotumika, kuangalia wezi,kuvalidate token inayotumika, sasa ndo swali linakuja how do they communicate to their server
   
 9. A

  Aristolicius Senior Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kwa hiyo unamaanisha ni nyaya zilezile za umeme zinazotumika kuconekti luku na server au kuna addition cabling labda kama opt. Fiber
   
 10. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Swali lako la kidadisi nimelipenda. unapoingiza namba za vocha kwenye simu ni kwamba unacommunicate na compyuta za shirika husika via setelaiti/internet. sasa mfumo wa mita kuzitambua zile tarakimu unakuwaje. nafikiri wataalamu wa tanesco wanaweza kutupa maelezo mazuri au mtu mwingine mwene ujuzi wa mambo haya.
   
 11. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kuna vitu kama vitatu hivi muhimu:
  Vending Unit - Hii ni sehemu yoyote ile ambayo mtu ana access ya kununua token za umeme.
  Vending Server - Hii ni sehemu muhimu sana ya IT; ina communicate na Vending Unit kwa ajili ya ku - generate tokens za umeme kwa kiwango kinachohitajika kwa mnunuaji. Hapa kuna information za mteja pamoja na taarifa za mita. Hivyo ni rahisi tokens zilizotolewa na V/Sever kutambuliwa na mita husika.
  Management Server - This is the heart of revenue. Data zooote ziko kwa M/Sever ...[/b]
   
 12. hodogo

  hodogo JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ila zipo zinazofanya hivyo na zinatumia laini za sim
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kabisa na in future zitakuwa hazina haja ya sim card.

  Si umeona hata TV za kisasa hazina remote, unaziashiria au unazisemesha tu.
   
 14. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mita za tanasco hazina Mawasiliano na server. Natumia mobile but kesho nitaweka Darsa hapa
   
 15. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kama una mpango wa kuiba umeme wewe endelea tu hawana uwezo wa kugundua.
   
 16. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Tukimaliza hili nitauliza nawezaje pata internet kwa mashine ya luku?

  lakini ninashawishika kuwa kuna mawasiliano ya kimtandao yanayofanyika.
  jana nikiwa tanesco watu waliokuwa wakilalamika kuwa namba zanagoma, walikuwa wanachukua namba na kuzisearcha katika mtandao wao. Niliona list ya namba zile zile za tokens. Na baadae wakaziactivate wateja wakiwa wameshaondoka
   
 17. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kama unaongelea meter zinazofungwa kwako hazina communication yoyote, ziko self contained na zinavalidate namba zenyewe bila kuongea na server. Ila vituo vya mauzo ndo vinaweza vikawa vinaongea na server maana kuna wakati vinagoma vyote kwa wakati mmoja i.e server zikiwa down.
   
 18. A

  Aristolicius Senior Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  tunalisubiri darasa lako kwa hamu
   
 19. A

  Aristolicius Senior Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  sitaki yanitokee yaliyo watokea watumishi wa bwana!
   
 20. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  best answer.
   
Loading...