Kama unaongelea meter zinazofungwa kwako hazina communication yoyote, ziko self contained na zinavalidate namba zenyewe bila kuongea na server. Ila vituo vya mauzo ndo vinaweza vikawa vinaongea na server maana kuna wakati vinagoma vyote kwa wakati mmoja i.e server zikiwa down.
Mkuu jibu lako lina make sense lakini bado linazua maswali mengi ya ziada
Je mita za LUKU zinavalidate zile code kama zinavyofanya software wakati una activate software? kwa lugha ingine ni je code zote zile za malipo zipo feeded(fed) kwenye mita ya LUKU?
Just asking to know