Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,156
Reaction score
5,265
Leo tulipanga tukutane na familia rafiki. Hii familia ni rafiki yangu ambaye tumesoma pamoja kutokea o-level hadi chuo. Tuko karibu sana na wake zetu wako karibu sana na watoto wetu pia.

Bahati mbaya hadi tunatawabyika usiku huu, rafiki yangu alikuwa hajafika kwani alisema amepata dharura ofisini kwake. Mke wake hakutaka kuamini kuwa kuna dharura na alihisi mme wake ana kidate.

Namjua rafiki yangu kwa totoz haaminiki hivyo sikutaka kucomment juu ya hilo nikataka nipotezee. Mke wangu akashtuka akasema unapotezea nini pengine unajua yuko huko kwa mademu zake, mnafichiana siri nyie.

Sasa ndo ukaibuka mjadala kuhusu kucheat.

Sheneji yangu ajasena yaani ili ukae na mwanaume bila pressure na wewe uwe na mambo yako. Lakini ukijidai mwaminifu kwenye ndoa nakuambia utaishia kuwa na pressure na ndoa itakushinda.

Mke wangu akadakia, nakuambia hata mimi nimeshajifunza hivyo. Zamani nikiona wamama walio okewa wanatoka nje za ndoa zao nilikuwa nawashangaa na nawaona wa ajabu wasio na heshima lakini sasa nimejifunza.

Subiri tu nimalize kulea. Tutapisha guest nakwambia. Ya nini kujipa pressure ya bure. Mwisho wa kunukuu.

Ni majuzi tu mke wangu alikuta meseji ya mapenzi kwenye simu yangu. Ingawa ki ujweli huyo dada sitoki naye ni tumekywa tuki flit na yeye. Nikajaribu kumuekewesha mke wangu hakuekewa. Nikamuomba msamaha. Lakini inaelekea aba donge moyoni.

Nilichojifunza ni kwamba wanaume tunapoiba wakati mwingine tunafikiri wake zetu hawajagundua, kumbe wana kausha tu kwani ngoma inakuwa draw. Tafakari na uchukue hatua.
 
Ku-choropoka kidogo mkuu mambo ndani yanapokua ndio sio ni muhimu sana mkuu
 
Nilichojifunza ni kwamba wanaume tunapoiba wakati mwingine tunafikiri wake zetu hawajagundua, kumbe wana kausha tu kwani ngoma inakuwa draw. Tafakari na uchukue hatua.

Yaani we ndo umejifunza hilo leo?

Kwanza achana na wao kugundua, ni kwamba hata wao wanachiti sana, tena sana tu.

Hapo ulipo usikute ushachitiwa mara kibao ila we hujui tu kwa sababu kama hili la wanaume kugundulika umelijua leo, hayo mengine je?

Wewe endelea kuwa naive....
 
mmh nina shaka hata hatasubiri amalize kulea..
 
alichoongoe mkeo na shemejio ni ukwel kabisa.. mwanaume akianza kucheat huwa anabadilika, hata ratiba yake ya kurudi home inabadilika, kwa mwanamke makini atahisi tu na ndio sababu ya kuanza kumfatilia mpaka kwenye simu yake.
ukimuuliza mwanaume atafanya kama ulivyofanya kwa mkeo, oh ni rafiki wa kawaida, mara tupo ofc moja, ukibanwa sana utaishia kuomba msamaha lkn ukweli ni huwa hamuwaachi hao wanawake

wanawake wamejikuta na wao wanatafuta wa kuwaliwaza either kwa kulipa kisasi au kujipunguzia hizo pressure na ukiwa. mbaya ni pale atakapompata either anayembembeleza au mwenye maujuzi au mahela kuliko wewe. hamna rangi utaacha kuona aisee.

ongea na mkeo, na muonyeshe kama huna hiyo tabia, otherwise akimaliza kunyonyesha atafanya alichokusudia
 
Nilichojifunza ni kwamba wanaume tunapoiba wakati mwingine tunafikiri wake zetu hawajagundua, kumbe wana kausha tu kwani ngoma inakuwa draw. Tafakari na uchukue hatua.
Kuiba au kuibiwa - hii inategemeana na life style ya wahusika kabla na baada ya kuoana ilikuwa vipi/iko vipi kwa hivi sasa.
 
jino kwa jino eee! Angalia tu msibaki vibogoyo
 
Nataka nimuoe niliyemzidi ujanja,nim cheat vizuri!!
Hiyo ngoma draw unaweza bambikiwa mtoto kidume-cheating ya mwanamke ni hatari sana ukiilinganisha na ya mwanaume ambayo haina madhara zaidi ya kuosha tu "rungu"
 
Leo tulipanga tukutane na familia rafiki. Hii familia ni rafiki yangu ambaye tumesoma pamoja kutokea o-level hadi chuo. Tuko karibu sana na wake zetu wako karibu sana na watoto wetu pia.

Bahati mbaya hadi tunatawabyika usiku huu, rafiki yangu alikuwa hajafika kwani alisema amepata dharura ofisini kwake. Mke wake hakutaka kuamini kuwa kuna dharura na alihisi mme wake ana kidate.

Namjua rafiki yangu kwa totoz haaminiki hivyo sikutaka kucomment juu ya hilo nikataka nipotezee. Mke wangu akashtuka akasema unapotezea nini pengine unajua yuko huko kwa mademu zake, mnafichiana siri nyie.

Sasa ndo ukaibuka mjadala kuhusu kucheat.

Sheneji yangu ajasena yaani ili ukae na mwanaume bila pressure na wewe uwe na mambo yako. Lakini ukijidai mwaminifu kwenye ndoa nakuambia utaishia kuwa na pressure na ndoa itakushinda.

Mke wangu akadakia, nakuambia hata mimi nimeshajifunza hivyo. Zamani nikiona wamama walio okewa wanatoka nje za ndoa zao nilikuwa nawashangaa na nawaona wa ajabu wasio na heshima lakini sasa nimejifunza.

Subiri tu nimalize kulea. Tutapisha guest nakwambia. Ya nini kujipa pressure ya bure. Mwisho wa kunukuu.

Ni majuzi tu mke wangu alikuta meseji ya mapenzi kwenye simu yangu. Ingawa ki ujweli huyo dada sitoki naye ni tumekywa tuki flit na yeye. Nikajaribu kumuekewesha mke wangu hakuekewa. Nikamuomba msamaha. Lakini inaelekea aba donge moyoni.

Nilichojifunza ni kwamba wanaume tunapoiba wakati mwingine tunafikiri wake zetu hawajagundua, kumbe wana kausha tu kwani ngoma inakuwa draw. Tafakari na uchukue hatua.

CC: Mentor , Himidini !!!!!
 
Last edited by a moderator:
hahaha mwekundu hofu yako wewe kubambikiwa tu sio? Hivi mtoto ni mbaya kiasi hicho?
 
wazee wa zamani wanasema kuchapiwa ni siri ya ndani sasa mkuu unatoa siri tena..
 
Back
Top Bottom