Comment 1 kwa kina kuhusu Tiba ya Asili ya tatizo lolote, ambayo 100% unahakika nayo kwa shuhuda binafsi

Yeah, kila unapotakiwa kunywa basi inakulazimu ukate kitunguu kipya
Mf.ukikata kitunguu 1 ukachemsha basi matumizi yake yameisha ni kukitupa mchana au jioni ni hivyo hivyo.
...Nadhani hakuna haja ya kukitupa mile kilichobaki. Kitasaidia mno kwenye mikaangizo ya mama....!!
 
...Nadhani hakuna haja ya kukitupa mile kilichobaki.
Kitasaidia mno kwenye mikaangizo ya mama....!!
😂😂😂kinakuwa hakina radha tena kinaiva labda tu kuongeza uwingi wa vitunguu kwenye mboga lakini sio kupata radha
 
Tiba ya mafua na kikohozi

Kitunguu maji.
Jinsi ya kuandaa, chukua kitunguu kimoja kikubwa kata katikati chemsha kwenye maji ujazo glasi moja inatosha,unaeza kuongeza idadi ya kituu kulingana na ukubwa wa mafua na kikohozi...
Mi nataka hilo angalizo tu..mengine sina..ngoja nifanye hiyo kazi
 
Back
Top Bottom