Comfort imekufa,na vingine vitakufa pia.

Tumekuwa na story za siasa, burdani kwa takribani wiki sasa. Kuhama kwa Lowassa toka CHADEMA kurudi CCM na kifo cha kijana wetu Ruge Mtahaba, Mungu ampe pumziko la amani huko aliko.

Jana nimepita barabara ya Mbeya,Iringa,Morogoro mpaka Dar nikitokea Tunduma.
Nilikasirika sana na kuumia roho baada ya kuiona sehemu yetu pendwa Comfort Hotel pale mlima Kitonga ikiwa imebaki ni ruins. Kwa wale waliokuwa wakitumia barabara ya Nyanda za juu kusini wanajua jinsi pale Kitonga palivyokuwa kiburudisho na sehemu nzuri ya kukutana kwa wasafiri wa ndani ya nchi mpaka nje ya nchi.

Ilikuwa ni burdani tosha kwa wanafunzi waliokuwa wakisoma shule za ukanda ule kama vile Tosamaganga, Mkwawa, Iringa girls,Songea girls and boys, Kaigo,Kantalamba na nyingine nyingi.

Ilikuwa baada ya kurudi mabwenini stori zote ni kuhusu menu za Kitonga. Watu wengi tulipenda sana menu ya pale iwe nzuri au mbaya. Cha kushangaza ni kwamba sijaona sehemu nyingine nzuri za kula njiani . Nimeumia sana kuona hali ile pale Comfort Kitonga kwani pana historia nyingi kwa watu wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii post yako haistahili kukaa hapa kwenye siasa.
Comfort ilianza kuyumba zamani sana. Kwa sasa Aljazeera ndio sehemu ya kula.
 
Mdau inaonekana mda mrefu ujapita hiyo njia hapo pamekufa mda sana walijaribu parudisha ikashindikana

Tunashukuru kuanza kwa uwanja wa ndege songwe maana wengine tushaanza kusahau vijiji na vituo vya hiyo barabara zile kona kona sijui mafinga, makambako nk imebaki story siku hizi ni mwendo wa mwewe tu
Hongera mkuu umeshajinasua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdau inaonekana mda mrefu ujapita hiyo njia hapo pamekufa mda sana walijaribu parudisha ikashindikana

Tunashukuru kuanza kwa uwanja wa ndege songwe maana wengine tushaanza kusahau vijiji na vituo vya hiyo barabara zile kona kona sijui mafinga, makambako nk imebaki story siku hizi ni mwendo wa mwewe tu
Wewe utakuwa mkinga!! Ndio nyie mkipanda ndege mnajifanya mmesahau eti kama mlima kitonga bado upo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... kuna kamgahawa kamoja kako kule Mombo, mbele kidogo baadaya mji wa Mombo, kama unaelekea Upareni, kipimo chao ni vichekesho! Ila bei ni balaa, imeshiba kweli kweli; wanajua huna options nyingine ndio maana wanakuwa na jeuri. Hata hivyo angalau siku hizi kuna competition somehow sema madereva wenyewe kama wanahongwa vile wapeleke abiria wanakojua wao.
Liverpool Mombo, na wale waarabu ndo wanaendesha mgahawa wa pale High Way Korogwe baada ya Dar Express kushindwa, also ndo wanaendesha Bismilah ya pale Ilula ukimaliza tu mlima Kitonga ukiwa unaelekea Iringa, I guess ile BISMILAH ni mojawapo iliyochangia kuua Comfort mgahawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipita mwaka jana mwishon pamefungwa
Ila walikua na chakula kibaya sana

Hiv watu wa kusin hakuna mwe ye wazo wa kuweka hotel nzuri kwa ajil ya wasafiri?
Iringa
Njombe
Kyela
Tukuyu
Rungwe
Songea
Mbeya
Tunduma
Sumbawanga
Mafinga

Ruti zote hizo basi zaidi ya 70 kwa siku fursa hiyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajiri wa punje za mahindi. Mwenyewe akifa, lazima biashara yake ife pia.
 
Comfort ilianza kuyumba tu baada ya mwenye mali Anderson Nyato kufa 2004, ikajikongoja hivyo hivyo kidogo kidogo mpaka mwaka 2016 ilipofungwa rasmi na halmashauli kwa kutiririsha maji machafu mtoni.

Ni yaleyale Africa mWenye mali akifa basi huenda mali zake.

Huwa hatuandai watu wa kuja kuziendeleza.
 
Tumekuwa na story za siasa, burdani kwa takribani wiki sasa. Kuhama kwa Lowassa toka CHADEMA kurudi CCM na kifo cha kijana wetu Ruge Mtahaba, Mungu ampe pumziko la amani huko aliko.

Jana nimepita barabara ya Mbeya,Iringa,Morogoro mpaka Dar nikitokea Tunduma.
Nilikasirika sana na kuumia roho baada ya kuiona sehemu yetu pendwa Comfort Hotel pale mlima Kitonga ikiwa imebaki ni ruins. Kwa wale waliokuwa wakitumia barabara ya Nyanda za juu kusini wanajua jinsi pale Kitonga palivyokuwa kiburudisho na sehemu nzuri ya kukutana kwa wasafiri wa ndani ya nchi mpaka nje ya nchi.

Ilikuwa ni burdani tosha kwa wanafunzi waliokuwa wakisoma shule za ukanda ule kama vile Tosamaganga, Mkwawa, Iringa girls,Songea girls and boys, Kaigo,Kantalamba na nyingine nyingi.

Ilikuwa baada ya kurudi mabwenini stori zote ni kuhusu menu za Kitonga. Watu wengi tulipenda sana menu ya pale iwe nzuri au mbaya. Cha kushangaza ni kwamba sijaona sehemu nyingine nzuri za kula njiani . Nimeumia sana kuona hali ile pale Comfort Kitonga kwani pana historia nyingi kwa watu wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 1991 nilimshauri ajenge ndani ya Mikumi National park kwa soko ni mpaka wanyama waishe hakunielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa mabasi huwa wanakula bure hawalipii
... kuna kamgahawa kamoja kako kule Mombo, mbele kidogo baadaya mji wa Mombo, kama unaelekea Upareni, kipimo chao ni vichekesho! Ila bei ni balaa, imeshiba kweli kweli; wanajua huna options nyingine ndio maana wanakuwa na jeuri. Hata hivyo angalau siku hizi kuna competition somehow sema madereva wenyewe kama wanahongwa vile wapeleke abiria wanakojua wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipita mwaka jana mwishon pamefungwa
Ila walikua na chakula kibaya sana

Hiv watu wa kusin hakuna mwe ye wazo wa kuweka hotel nzuri kwa ajil ya wasafiri?
Iringa
Njombe
Kyela
Tukuyu
Rungwe
Songea
Mbeya
Tunduma
Sumbawanga
Mafinga

Ruti zote hizo basi zaidi ya 70 kwa siku fursa hiyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema ukweli kuna haja ya route hiyo kuwa na hotel za maana kama za njia ya kaskazini ukizingatia kuwa mabasi mengi yanaenda ukanda ule kuliko hata ya yanayokwenda kaskazini

Hizi hotel za kujenga ''porini'' zinahitaji mikakati mingi. Imagine mtu anajenga hotel sehemu isiyo na makazi halafu anategemea mabasi ya abiria yamshushie wateja. Silaha yake kubwa inakuwa ni hongo anayotoa kwa madereva ili wasimame kwenye hoteli yake. Tukio dogo sana linaweza kufanya hoteli ife kifo cha mende.
 
Tumekuwa na story za siasa, burdani kwa takribani wiki sasa. Kuhama kwa Lowassa toka CHADEMA kurudi CCM na kifo cha kijana wetu Ruge Mtahaba, Mungu ampe pumziko la amani huko aliko.

Jana nimepita barabara ya Mbeya,Iringa,Morogoro mpaka Dar nikitokea Tunduma.
Nilikasirika sana na kuumia roho baada ya kuiona sehemu yetu pendwa Comfort Hotel pale mlima Kitonga ikiwa imebaki ni ruins. Kwa wale waliokuwa wakitumia barabara ya Nyanda za juu kusini wanajua jinsi pale Kitonga palivyokuwa kiburudisho na sehemu nzuri ya kukutana kwa wasafiri wa ndani ya nchi mpaka nje ya nchi.

Ilikuwa ni burdani tosha kwa wanafunzi waliokuwa wakisoma shule za ukanda ule kama vile Tosamaganga, Mkwawa, Iringa girls,Songea girls and boys, Kaigo,Kantalamba na nyingine nyingi.

Ilikuwa baada ya kurudi mabwenini stori zote ni kuhusu menu za Kitonga. Watu wengi tulipenda sana menu ya pale iwe nzuri au mbaya. Cha kushangaza ni kwamba sijaona sehemu nyingine nzuri za kula njiani . Nimeumia sana kuona hali ile pale Comfort Kitonga kwani pana historia nyingi kwa watu wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tu kilichokuwa moyoni mwako, hapa lengo hapa ni kuwa mawingu na yatadondoka kama muasisi alivodondoka, huko comfort umezunguka sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom