Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,977
- 10,075
Mkuu ni kweli hii Hotel ilijifia siku nyiiiingi na kuna mjasiriamali akajenga pale Ruaha Hotel inaitwa El Jaazira ndio ikawa imechukua wateja wa pale Comfort. Hata nyanya na vitunguu vikahamia pale!!!Jiwe limefanya nini, Walozi mmeanza mtadai jiwe ndio lilimloga mumiliki wa hoteli akafa, 2010. Comfort Coach na Hotel zilikufa baada ya mumiliki kufariki na bank kuchukuwa dhamana zao.