Cofidence ya Padri.

TaiJike

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
1,483
666


Mwanakwaya anamlalamikia padre:
" Padre, mke wangu hajui kunanihii . . . . . kabisaa mi namwaacha haki ya nani!"

PADRE AKIJIBU KWA CONFIDENCE:

“. . . .si bora mkeo anajua idogo, mke wa mpiga kinanda ndio hajui kitu, mke wa Petro yule mzee wa kanisa na **** lake la ghorofa ndio bure kabisaa anazidiwa hata na sister Tuli.
Yaani kwa humu kwenye PAROKIA yetu mwenye nafuu ni mkeo na Salome yule mwalimu wa Sunday School"
 
acheni hizo sisi wakongwe tunauchuna lakini mliojua kubofya juzi mna taabu kweli kama wewe umeshawahi ona pitiliza kuna mambo kibao ndani ya JF
 
Hii siyo ishu kufanya utani na dini za watu ni bora kama umekosa kitu cha kuchangia hapa jf ukakaa kimya
 
acheni hizo sisi wakongwe tunauchuna lakini mliojua kubofya juzi mna taabu kweli kama wewe umeshawahi ona pitiliza kuna mambo kibao ndani ya JF

Yalikuwepo tokea enzi za Adam na Hawa hivo usichachawe sana.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom