Coding ni nini?

Coding ni nini?

Unaweza kuunda software yoyote iwe ni offline au online, unaweza kuunda website yoyote, application yoyote na mengine mengi yanayohusiana na IT

Hata hivyo dunia ya sasa huhitaji kujua code ili kufanya hayo yote

Wapo wataalamu wanaunda software zinazoweza kuunda software nyingine bila kuhitaji kujua coding, wanaita What You See Is What You Get (WYSIWYG)

Code ni mambo ya kizamani na yanapoteza muda
Sio kweli kabisa coding siyi mambo ya kizamani. Hizo softwares za drug and drop zina limitations, zina shida za security.
Jiulize kwanini makampuni makubwa ambayo hadi yamedevelop kugha mpya za coding, models bado yanaajiri coders? Open Ai na chatgpt inaweza kuandika code lakini wanaajiri coders?
Coding kwa sasa itaemdelea kuwepo maana coding inahusisha kuunda algorithms.
Coding ni deal na itaendelea kuwa deal ila kwa really coders sio basic coders.
 
Kwangu mimi ni mambo ya kizamani na kupoteza muda
 
Wewe ni coder? Ingekuwa mambo ya kizamani basi instagram, whatsapp, facebook, na apps kubwa ikiwemo games zingetumia drug and drop.
Ni vi app vidogo unavyiweza kuviunda kwa drug and drop.
Hebu niambie unaweza kuintercat vipi website na database ukaimplent security kwa drug and drop?
 
Wewe, acha kunipotezea muda

Nimekuambia kwa upande wangu mimi hayo ni mambo ya kizamani na kupoteza muda

Instagram na Facebook ndiyo umeona mwisho wa dunia
 
Utakuwa huna clue kuhusu coding.
Haya basi tuache instagram, hata hizi Ai bots na models zake kama tensor flow pia na networks kama etherium sizingeundwa kwa drag and drop.
Mpaka leo makampuni makubwa yanaajiri watu kuandika codes.
Hizo drag and drop ni kwa ajili ya kuunda vi app ambavyo havina maana vidogo tu vidogo tu.
Open AI ina coders zaidi ya 400
 
Watakaoingia choo cha kike ni hao watakaokimbilia hizo unaziita Ai na watakuja kulia muda si mrefu

Unaposema app ni ndogo haina maana unamaanisha nini? Nini kinafanya app hii uione ndogo na hii ni kubwa?

Ni mara ngapi hiyo Facebook Yenyewe inadukuliwa pamoja na ulinzi wake wote?

Siwezi kutoa hela mwanangu akasome coding, bora nimfundishe kuzalisha funza
 
Hakuna platform ambayo ni 100% attack free kwasababu zimeundwa na binadamu na ni binadamu wanaokuja na mbinu mpya za kufanya attacking.
Lakini security iliyoandikwa na coder hailingani na iliyowekwa na drag and drop. Hata jf japo unanunua software, ila ndio maana kuna coders wanafanya matekebishi ya codes kuimprove security.
App ndo ni zile zinafanya vitu basic tu. Mfano uuende tovuti static kwa drag and drop.
Huwezi kuunda platform kama ya mpesa kwa drag and drop.
Drag ans drop haiwezi kukupa kitu exactly kama unavyotaka kifunction hata kwenye uunzi wa website.
Lazima uchape code. Na ndio maana hata kuchapa code kuna watu hata hawataki matumizi ya frameworks pia wanataka kila kitu wakiunde wenyewe waimplement security, performance and execution.
AI kwanini useme watalia? AI ni future ya vitu vingi inakuwa intergrated kwenye devices na vifaa vingi. Models mbalimbali za AI zinakuwa developed kufanya vitu tofauti.
Jana nilikuwa natazama demo ya bot fulani ya microsoft, unaiandikia aina ya mziki unaotaka inaandika lyrics na kukuunda mziki in a matter of seconds.
Mimi ni.mpenzi wa miziki ya EDM, niliambia iniundie nyimbo ambazo zinasound kama faded kwa kuelezea nataka ianze na nini, lyrics ziweje na vitu kama hivyo ikaunda nyimbo kadhaa ambapo 3 waimbaji walikuwa sauti ya ike na 2 sauti za kiume.
Hii ni early stage ya AI, zinaenda kubadilisha mambo mengi
 
Unaandika mengi inaonyesha una muda mwingi wa Bure

ENDELEA NA UZI WAKO MIMI NAINGIA KULALA SASA
 
Habari!

Ushamba siyo dhambi, ushamba siyo ulemavu wala ushamba siyo ugonjwa.
Ushamba ni jambo la aibu ndiyo maana watu wengi hawapendi kuonekana washamba.

Kinyume na wengi wasiopenda kuonesha ushamba wao mimi huwa sifichi ushamba wangu kwa kile nisichokijua hasa nikihisi kitu hicho kina manufaa.

Neno coding siyo geni masikioni mwangu na ninahisi ni kitu muhimu sana kutokana na namna kinavyotajwa. Basi leo ningependa nami nipewe elimu kidogo Kuhusu coding.

Coding ni nini?
Ina faida gani katika maisha?
Ugumu na urahisi wa kujifunza coding ni wa kiwango gani?
Wataalamu naomba kueleweshwa nimechoka kukumbatia ushamba.
Coding inaweza kuwa na maana, tafsiri au ufafanuzi mbalimbali kulingana na Muktadha Fulani ambao anakusudia. Muktadha huo unaweza kuwa katika nyanja za:-
1.Elimu ya TEHAMA (ICT).
2.Elimu ya Ujasusi (Jeshi) au Masuala ya Ulinzi na Usalama.
3.Elimu ya Usimamizi wa Mali na Rasilimali (husani mali zinazohamishika na zisizohamishika, real property), etc.
But, all in all neno Code linatoa maana ya kawaida zaidi kuhusu utambulisho au utambuzi wa kitu au mtu kwa lugha ya kificho, mafumbo au kwa lugha ya Siri kwa wale ambao hawako na "idea inayofanana"
Mfano, Wapelelezi, Wachunguzi, Watafiti wa mambo mengi ya Siri huwa wanapenda kutumia majina ya Siri(kificho), yaani "Code Names" badala ya majina yao halisi ili kuficha utambulisho wao kwa umma.
 
Huu hapa mfano wa coding katika kujibu maswali ya hisabati....

1703992992047.png
 
Naona unapiga python mkuu.
Nilikuwa niko napiga python na interaction ya flask framework naona vscode imenizingua week sasa hafi nimepata uvivu wa kuendelea.
Sio deep sana mkuu
Najifunza kuitumia kufanya maths...
 
Back
Top Bottom