Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,758
Nimeshindwa kumuelewa kwa kweli,yani anajibu tofauti kabisa na anachoulizwaNi nini kile lakinii
Afu kwa maneno mengiii
Ila nimecheka sana hapa
Nimeshindwa kumuelewa kwa kweli,yani anajibu tofauti kabisa na anachoulizwaNi nini kile lakinii
Ewaaaaa kichwa wa watu tulimsingizia tu ndio mana alikuwa anatuchekaMapenzi mubashara
Nakwambia Huamini eeehh.... Siku utaniona kwenye cherekoMbavu zinauma mimi jamaan![]()
Kaanza kujibu maswali?Yule dada hapana kwa kweli
Na akitokea waenda kupika maandaziKama Jana![]()
![]()
hayupo jf ujue anaweza kutokea



HaaNimeshindwa kumuelewa kwa kweli,yani anajibu tofauti kabisa na anachoulizwa
Afu kwa maneno mengiii
Ila nimecheka sana hapa
Nakwambia Huamini eeehh.... Siku utaniona kwenye chereko
















woiii mbwira huyo mc wa watu huko anajing'ataEwaaaaa kichwa wa watu tulimsingizia tu ndio mana alikuwa anatucheka


kichwa baby
Kweli Mr head atusameheEwaaaaa kichwa wa watu tulimsingizia tu ndio mana alikuwa anatucheka
Mbona kashamalizaKaanza kujibu maswali?
Hahahawoiii mbwira huyo mc wa watu huko anajing'ata
Baby DJ nae anajua kula na kichaa ndo mana..hata mi ningeendelea kumuuliza nione anavyotiririkaHaa
Mie nimesoma kwa akili zangu zoote nimeshindwa kumwelewa, halafu Dj anauliza tu maswali
Haa
Mie nimesoma kwa akili zangu zoote nimeshindwa kumwelewa, halafu Dj anauliza tu maswali







Atusamehe jamaan furend wake carbaKweli Mr head atusamehe
Mfyuuuu ujikute tu mbwiraHahaha
Mie ndo mwenyewe mbwira
Baby DJ nae anajua kula na kichaa ndo mana..hata mi ningeendelea kumuuliza nione anavyotiririka








DaaaahBaby DJ nae anajua kula na kichaa ndo mana..hata mi ningeendelea kumuuliza nione anavyotiririka