moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,040
- 16,870
Kwani uongo jamaniiHiyo ya Mr x kuwa jf toka asubuhi nimecheka sana
Siri hiyoMmmmh
Sichezi na wewe
Kwetu wote na yeye mumewe kampata huko
hunaga siri wewe mtoto wa kike
Siri gani sasa wakati nimeacha mume na watoto wawiliiii kuleeSiri hiyo
Nakung'ata kabisaUtanipiga au![]()
![]()
![]()
![]()
Me nimeachana naeNitamchamba hadi asahau njia![]()
Mwenyewe ni mc ujue, tena wa kanda maalum
tuwe tunaitana bana kwenye shughuli tupeans maujuziYaani uzi unajikongoja hatariKwa bibiwatu walitoa mapovu ndio tumewaacha wawe na amani
Wanasema tunaharibu interview watu wanashindwa kujifunzaMmetia mgomo
Popo zimelala leoLeo hatuamshi popo wala tembo
Bora kuliko kuonekana kikwazo kwa watuWanasema tunaharibu interview watu wanashindwa kujifunza
Kheri tukae huku
Daah siwawezi nyie, ndo shemela unayemdanganyaga unaenda chooni sioSiri gani sasa wakati nimeacha mume na watoto wawiliiii kulee
Ukhuty anapajua kwaniSiri ipiii anapajua![]()