Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Natamani nione kweeeli maswali yaoInabidi tupite kimya kimya ili watu wapate kuuliza mijiswali yao.![]()
![]()
Natamani nione kweeeli maswali yaoInabidi tupite kimya kimya ili watu wapate kuuliza mijiswali yao.![]()
![]()
Hazitakuwepo mana sie timu naniliu ndio tunao chitchatika kwenye interviews.Naisubiri ya leo nione kama chit chat hazitakuwemo

Ila ndio hivyo siku zote jf haiishi vituko.Mie nilichoka, nilisoma mwili wooote ukalegea
Hahahatutaombewa na ban yaan nikikumbuka hiyo
Hakutakuwa na maswali ya maana zaidi ya siasa,ila tusubiri tuoneInabidi tupite kimya kimya ili watu wapate kuuliza mijiswali yao.![]()
![]()
Mtaa wa pili bado tuu haijaanza jamanii???? Halafu nione mtu anachat huko sasaIla ndio hivyo siku zote jf haiishi vituko.
Bado dk chache tu tutaona kama kweli hazitakuwepoHazitakuwepo mana sie timu naniliu ndio tunao chitchatika kwenye interviews.![]()
![]()
Mmh. Mi nijuavyo wenye maswali siku zote huwa anauliza my dear na hawi muda wa kufuatilia watu. Ukiona mtu kuingia na kuingia tu kaanza kukerwa na aliowakuta jua huyo hana kingine zaidi ya wivu.Natamani nione kweeeli maswali yao

Me nitawaita mods kabisaaMtaa wa pili bado tuu haijaanza jamanii???? Halafu nione mtu anachat huko sasa

Na wali dadaNakata Vitunguu niunge Maharage ya lunch Kesho


usisahau kachumbari kesho
Yetu macho mamy, maana na humu wanatusoma kimya kimyaBado dk chache tu tutaona kama kweli hazitakuwepo
Na kweli ujue walengwa wakuu ilikuwa ilikuwa sieHazitakuwepo mana sie timu naniliu ndio tunao chitchatika kwenye interviews.![]()
![]()
HahahaMmh. Mi nijuavyo wenye maswali siku zote huwa anauliza my dear na hawi muda wa kufuatilia watu. Ukiona mtu kuingia na kuingia tu kaanza kukerwa na aliowakuta jua huyo hana kingine zaidi ya wivu.![]()
![]()
![]()
![]()
HahahaMe nitawaita mods kabisaa![]()
Mi nishachuma fimbo kwa kweli mana hatutaki aibu tuacheni watu waulize maswali yao.Mtaa wa pili bado tuu haijaanza jamanii???? Halafu nione mtu anachat huko sasa
Halaf wakawa wanapongezana swala letu sijui limefanikiwaNaisubiri ya leo nione kama chit chat hazitakuwemo




Nikipigwa mje kunitetea mana ka emmy hakana hata nguvu mjue.Hahaha
Wamekuelewa Madam
Carba ujue anaweza kuchart hukoMtaa wa pili bado tuu haijaanza jamanii???? Halafu nione mtu anachat huko sasa