mgosani
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,004
- 1,138
Kuna tatizo gani ukibaki hivyo? Copacabana wamejenga nini kwenye ufukwe wao? Bondi Beach wamejenga nini kwenye ufukwe wao?
Tusipende kudanganyana. Mvuto wa Coco Beach ni unspoilt nature. Kuanza kujenga ni kuiharibu.
Amandla.....
Waswahili wana msemo unasema "ukimruhusu ngamia kuingiza kichwa kwenye hema mwisho ataingiza mwili mzima"
Hii ni gea ya kutaka kuanza kujenga kichanga chui yote mpaka sea cliff.
Hebu kuweni wabunifu zaidi, ufukwe wa bahari Tanzania unaanzia Tanga mpaka Mtwara, COCO beach iwacheni.