Coco Beach: The project has consumed 260m/- from its concept design phase to completion of a Master

A key question: How will the project raise this 17bil while it's already a free open space? What services will be there for a charge?
Kwanza kutakuwa na recreation facilities including restaurants & bars na hizi ndo zitakuwa main sources of income ya kujerejesha hiyo 17 billion. I also assume kutakuwa na mageti zaidi ya moja depending your visiting status. Kama unaenda kula bata, utatumia geti/mageti ya wanaoenda kula bata na kama kinachokupeleka ni fukwe na bahari peke yake, I assume kutakuwa na geti la watu wa aina hiyo!
 
mauzo ya vyakula,vinywaji etc

hivi kwani beach huwa zina viingilio?
hili ni tatizo,mtu kwenu mpwapwa ambako hata bwawa hakuna unajifanya kuongelea mambo ya beach...private beaches zinalipiwa,nenda beach kimba ya mikadi kigamboni huingii hadi utoe 2,000/=
 
mpanda sio mpwapwa.
Hata kuna private beach zinazolipiwa na kuna public beach.hiyo itakuwa public beach
 
Kwanza kutakuwa na recreation facilities including restaurants & bars na hizi ndo zitakuwa main sources of income ya kujerejesha hiyo 17 billion. I also assume kutakuwa na mageti zaidi ya moja depending your visiting status. Kama unaenda kula bata, utatumia geti/mageti ya wanaoenda kula bata na kama kinachokupeleka ni fukwe na bahari peke yake, I assume kutakuwa na geti la watu wa aina hiyo!
bila kusahau beach cabin ambazo zitakuwa kwa ajili ya kukodi kama mtu anataka retreat,vacational retreat,
 
Wizi mtupu. ..ndio maana watu wana haha kuuza hiyo idea kwamba Project inalipa. Hivi bado tunapingana na Rais? Yanga sio Tanzania. ...maana Simba wapo pia. Rais wa Yanga ni mtu mdogo sana kuanza kupingana na Rais wa nchi...JPM
 
Well hiyo fukwe lazima iendelezwe ... so watu wasipinge ila tuwe makini na aina ya investors sbb wengine wanajulikana kwa kuuza madawa ya kulevya na kuwa na uraia wa nchi mbili.
 
Sio kwamba hatupendi maendeleo, tatizo ni kwa gharama zipi? Hilo eneo likiendelezwa, maskini sisi ndio utakuwa mwisho wetu kwenda huko, unadhani kutakuwa na mihogo ya 1000 huko?
 
Naunga mkono.Iyo Fukwe iendelezwe kwa maslahi ya Manji.Manji katusaidia sana Yanga.Hakuna jinsi ,apewe tu ufukwe.
Walala hoi wanaopenda kwenda pwani wajifunze kwenda ufukwe wa Kawe.
 
Watu waache ushamba..ufukwe wa coco beach hauwezi kubaki hivyo hadi yesu arudi .....iwapo itaendelea kuwa open beach wacheni iendelezwe...
 
Sio kwamba hatupendi maendeleo, tatizo ni kwa gharama zipi? Hilo eneo likiendelezwa, maskini sisi ndio utakuwa mwisho wetu kwenda huko, unadhani kutakuwa na mihogo ya 1000 huko?

Mentality za Kiswahili ....Kama hawatatoza kiingilio hiyo mihogo ya buku ....kwanini isiwepo ...itakuwapo Tena kwenye mazingira safi ........pale coco beach kwa Sasa hakuna Choo wala Maji ya kunawa kabla ya kula na bado mnataka pabaki hivyo hivyo
 
A key question: How will the project raise this 17bil while it's already a free open space? What services will be there for a charge?

All commercial properties/ facilities I. E Restaurant, coffee shops etc public will have free access to all these facilities so they can spend monies, imagine you will have to rent kiosk for $5000/- per month while the high end facilities will be more than that. Parking fees on daily basis,This is where the 17B ++++ will be generated. Akili ya mhindi inafanya kazi. Kuna u semi " THE BEST BUSINESS MAN IS THE ONE WHO USES OTHER PEOPLE'S MONEY TO MAKE MONEY"
 
Ndo maana Manji amekomaa kwa njia zote za juu na za chini.
 
Kumbe mashirika ya umma nayo yanatoa pesa halafu ikimalizika Manji anakuwa mmiliki peke yake kwa miaka 99 ,wote humu JF hata Manji mwenyewe atakuwa kishakufa ila wajukuu wake ndo watakuwa warithi,Maskini Tanzania
 
Mentality za Kiswahili ....Kama hawatatoza kiingilio hiyo mihogo ya buku ....kwanini isiwepo ...itakuwapo Tena kwenye mazingira safi ........pale coco beach kwa Sasa hakuna Choo wala Maji ya kunawa kabla ya kula na bado mnataka pabaki hivyo hivyo
Hizo sio mentality za Kiswahili bali mentality kale ambazo duniani zilishazikwa takribani miongo mitano iliyopita na kwa Afrika angalau miongo miwili iliyopita! Ukisikia severe resources under utilization ndo ipo Oyster Bay Beach.
 
Kutakuwa na sehemu za vyakula,vinywaji ila kuingia ni bure....kuna kulipia parking etc.....kama ilivyo sasa kuna watu wanauza vinywaji,vyakula wamekodishwa wanalipa halmashauri.
Why now haliingizi hizo billions wakati watu wanaofanya biashara hapo wanalipia? Na why akichukua manji hizo billions zipatikane?
 
bila kusahau beach cabin ambazo zitakuwa kwa ajili ya kukodi kama mtu anataka retreat,vacational retreat,
Project mzima ni very potential... kwanza mimi ningekuwa ndo mfanya maamuzi, hiyo project ingekuwa ishakuwa implemented miaka kadhaa iliyopita. I usually don't give the goddamn sisi maskini stuff to be an obstacle for better utilization of our resources.
 
Why now haliingizi hizo billions wakati watu wanaofanya biashara hapo wanalipia? Na why akichukua manji hizo billions zipatikane?

1.hachukui Manji, ni halmashauri,tib
2.sasa hivi kodi kubwa anachukua aliekodishwa na halmashauri[yeye ndio kapangaisha hao wanaolipa hela nyingi
3.kuna units chache za biashara kama 5 hivi

Sasa project ya halmashauri,tib itakuwa na units nyingi kwahio wapangaji watakuwa wengi.
 
Magufuli alikurupuka alivoshauriwa lakini ukweli ni kuwa hii project muhim sana na kwann hvi wabongo sisi ni watu wa mihemuko
 
Hizo sio mentality za Kiswahili bali mentality kale ambazo duniani zilishazikwa takribani miongo mitano iliyopita na kwa Afrika angalau miongo miwili iliyopita! Ukisikia severe resources under utilization ndo ipo Oyster Bay Beach.

Na itasaidia kuondokana na harufu mbaya ya maji vitendo vya kihuni. Wanasema masikini hawatapata fursa ya kufurani, mbona wanapata pesa ya nauli kutoka Mbagala kwenda beach
 
Back
Top Bottom