Coco Beach: The project has consumed 260m/- from its concept design phase to completion of a Master

Coco Beach: The project has consumed 260m/- from its concept design phase to completion of a Master

tatizo ni kuwa wabongo hawajazoea biashara za aina hizi,
tumezoe biashara za uchuuzi sana,hii kitu mbona ya kawaida sana na inaweza kuvuta watalii wakitoka zao kilimanjaro wanakuja cocobeach kujiachia kabla hawajakwea pipa kurudi makwao,thimk how much milions of dollars that project can generate.and create employment.

Mji kama Beirut,lebanon wanapata watalii kwa mamilion kwa ajili ya watalii wanaokuja kujigalagaza kwenye fukwe zao maridadi

Hizo hela sizinaingia kwenye Mfuko wa Manji? au yy ndio Serikali kwa muono wako
 
Jamaaa huwa hatoi pesa yake mfukoni ht siku moja hapo ni banks nhc manispaa watatoa mpunga yeye mwenye eneo anakaa pembeni keshatoa mlungula anaangalia tu pproject inakwenda na mkizubaa anawauzia mara nne ya pesa mlizotoa kujenga project
bussines idea kama inalipa ni pesa,

kuna watu wanakua na business idea na kuna watu wao ni kufinance idea ili ifanyiwe kazi kama idea inalipa,
ndo kazi ya mabank hiyo,kama idea inalipa wanatoa pesa
 
Hizo hela sizinaingia kwenye Mfuko wa Manji? au yy ndio Serikali kwa muono wako
serikali haina mda wa kufanya biashara ya kuuza vinywaji kwenye fukwe zake.

Pesa inaingia kwa wawekezaji wa mradi na serikali inapata fedha indirectly
 
Public beach hazina viingilio na ndio hapo tunajiuliza how would you raise the 17bil? Kwa chakula na vinywaji, seriously? What is the payback period?
ngoja ntarisearch namna hizi fukwe zinavyogenerate cash
 
kabla ya uchaguzi mkuu mwaka 2010 kulikuwa na malalamiko kuwa manji anagawa hela za kampeni kwa wagombea udiwani ili aweze kupanga safu za mameya wa jiji ili afaidike nao.na kweli tuliona hata masaburi akiacha kugombea ubunge na kukimbilia udiwani.hayo ndo moja ya matokeo ya mipango mikakati ya manji kwenye ule uchaguzi.

nilisikia pia safari hii alikuwa ana lengo la kuwa meya bahati mbaya madiwani wengi ni wapinzani hivyo sijui kama azma yake itatimia.manji ni fisadi la kimataifa
 
maisha ni mikakati na kuangalia wapi kuna oppotunities na kisha kuzifanyia kazi kwa faida yako,
 
The area will remain a free space to the public ....and yet 17bn is expected to be generated ...............:crazy:[

halafu wasomi na akili zao wanasaini mradi kama huu bila kuupitia kiundani na kuhoji vipengele tata kama hiki!
 
The area will remain a free space to the public ....and yet 17bn is expected to be generated ...............:crazy:
I am not saying that's the case but it can generate money through adverts (mabango) and vendors or other businesses who wants to sell anything example mobile vendors
 
Hivi viingilio ndio vinaongeza mapato?
Malls hazina viingilio na mapato yapo cha muhimu hapo ni biashara zitakazofanyika.
Forodhani (Zanzibar) ni eneo dogo tu lakini fursa za pale zinawanufaisha wengi, hakuna kiingilio.
 
serikali haina mda wa kufanya biashara ya kuuza vinywaji kwenye fukwe zake.

Pesa inaingia kwa wawekezaji wa mradi na serikali inapata fedha indirectly

Huyu muhindi ndio unamuita muwekezaji ikiwa KODI yenyewe anakwepa....!!
 
Tuna vyanzo vya mapato vingi sana Tanzania vya kugenerate employment na foreign currency lakini lazima kuna maeneo mengine lazima yabaki kwa ajili ya wananchi wa kipato cha chini.hao watalii siwaende hata kunduchi beach na sehemu nyingine
 
Kwenye hili sakata ni Manji tu anaonekana na sio wengine kuna nini?

manispaa inategemea kushinda rufaa, alisema mkuu wa mkoa. ndio maana wana kibri cha kundelea na huo mpango.
 
Duh! Kumbe kweli Manji ana haki ya kulalamika kwamba nchi yake haimthamini manake ingawaje bandiko la Kibanga Ampiga Mkoloni halimtaji Manji kama mnufaika lakini bado raia tunamkomalia Manji!!! Kibanga anauliza:
Mbona sioni manji wala Quality Company humu? naona mabank tu na Kinondoni manispaa, Je manji anaingia vipi humu?
Sakarasi mzima ya huu mradi ni kwamba Manispaa ya Kinondoni iliingia mkataba na Manji kwa ajili ya kuuendeleza juu ufukwe in 2007. Hata hivyo, baadae Manispaa wakamnyang'anya kwa maelezo kwamba Manji alishindwa kutekeleza masharti ya mkataba husika na badala yake Manispaa wakaihamishia hiyo project kwa wadau wengine kama wanavyosomeka hapo juu.

Manji baada ya kunywang'wanywa huo mradi, akaenda mahakama kuu kitengo cha ardhi na at the end of story, Mahakama ikatoa hukumu in favor of Manji... kwamba, Yusuph Manji ana haki zote na hiyo project ingawaje manispaa hawajaridhika na maamuzi ya mahakama ambayo hata hivyo; ama bado hawajayakatia rufaa na kama wameshakatia bado hayajatolewa maamuzi.

Hivi majuzi Mkuu wa Mkoa wa Dar es saalam Mecky Sadick alinukuliwa akimuomba Manji aachie ufukwe! Watu wakamkejeli Sadicky kwamba how come aombwe ingawaje wakati ule ule nilishasema Mecky Sadick ana kila sababu za kuwa mpole coz' hadi hapa tunapoongea Manji ndie anaonekana mwenye haki zote tofauti na taarifa ya hapo juu unless mahakama i-rule out vinginevyo au mamlaka za juu kabisa; zitengue maamuzi hayo ya mahakama ikiwa kuna mtu aliye juu ya sheria!!!

SAED KUBENEA:
Huyu nae haipaswi kukunja jamvi bila kumzungumzia kidogo kutokana na hatua yake ya kumtetea Mussa Natty, the ex-Kinondoni Director.

Kwamba Mussa Natty sie ambae aliuuza ufukwe wa Oysterbay kwa Manji ni kweli kwa 100% coz', mwaka 2007 Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni alikuwa Bw. Hussein Katanga ambae alitoka Kinondoni 2008. Kwahiyo Kubenea hapo yupo sahii. Mussa Natty amekuwa MD wa Kinondoni from 2013.

HOWEVER, hivi issue ni ufukwe kuwa mikononi mwa Yusuph Manji au ufukwe kuwa mikononi mwa sekta binafsi? Kama tatizo ni ufukwe kuendelezwa na Yusuph Manji basi Saed Kubenea alikuwa sahihi kumtetea Mussa Natty lakini ikiwa kinachonasisha CD ni ufukwe kuwa mikononi ya private sector basi Kubenea alichemka kumtetea Mussa Natty coz' ama uendelezwe na hao TIB na wenzake au uendelezwe na Manji; yote ni yale yale sana sana Kubenea atakuwa tu anachochea madai kwamba Mussa Natty ni mtu wao.
 
Last edited by a moderator:
tatizo ni kuwa wabongo hawajazoea biashara za aina hizi,
tumezoe biashara za uchuuzi sana,hii kitu mbona ya kawaida sana na inaweza kuvuta watalii wakitoka zao kilimanjaro wanakuja cocobeach kujiachia kabla hawajakwea pipa kurudi makwao,thimk how much milions of dollars that project can generate.and create employment.

Mji kama Beirut,lebanon wanapata watalii kwa mamilion kwa ajili ya watalii wanaokuja kujigalagaza kwenye fukwe zao maridadi

Sehemu za utalii zipo kibao Tanzania.Tunacholia hapa ni kuwa Manji akishawekeza hapo sisi watu wa Mbagala ndio itakuwa mwisho kufika pale.
Ukitaka kujua umuhimu wa CoCo beach ungekuja jana wakati tunasheherekea Xmas.Maelfu ya watu walikuwa pale.
Manji ni bepari mbinafsi asiye na huruma na nchi hii.
 
The area will remain a free space to the public ....and yet 17bn is expected to be generated ...............:crazy:

A key question: How will the project raise this 17bil while it's already a free open space? What services will be there for a charge?

Kutakuwa na sehemu za vyakula,vinywaji ila kuingia ni bure....kuna kulipia parking etc.....kama ilivyo sasa kuna watu wanauza vinywaji,vyakula wamekodishwa wanalipa halmashauri.
 
The area will remain a free space to the public ....and yet 17bn is expected to be generated ...............:crazy:

A key question: How will the project raise this 17bil while it's already a free open space? What services will be there for a charge?

Nikupe mfano kuna sehemu pale pale coco siitaji jina wanalipa rent 1m kwa wiki, sasa imagine sehemu kama hizo zitakuwa ngapi kuanzia light house huku hadi police officers mess.
 
Back
Top Bottom