Coca-Cola Kwanza Ltd: Whats going on? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Coca-Cola Kwanza Ltd: Whats going on?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Enigma, Sep 1, 2011.

 1. Enigma

  Enigma Senior Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Greetings my dear friends,

  We have been receiving a lot of chatter from CCKL that something is going on.. there is tense situation especially between some employees and administration. Most of it as far as we can tell has to do with some employees posting on their facebook pages about their complaints about working conditions at the Mikocheni plant.

  Is there anybody who is willing to speak with us or to let the public know what is going on at one of Tanzania's oldest company...?

  anybody?

  Please PM me.
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna nini?
   
 3. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  mimba haifichiki lazima mtoto atazaliwa, tuvute subra
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  yaani mengi na biashara zake
  ingekuwa marekani watu wangeshaandika vitabu best sellers

  bodycare imekufa

  ippmedia inakimbiwa na best journalist wake

  na sasa hiyo cckl

  usisahau tuhuma za kuifilisi nico

  sijui.....
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Coca Cola kwanza is not one of Tanzania's oldest companies as you think. Actually Coca Cola kwanza is very new in Tanzania. Its hardly 20 years old.
   
 7. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kumbukumbu zangu kuwa mengi hayupo coca cola kwanza bali bonite ya moshi kama cjakosea
   
 8. 2

  2simamesote Senior Member

  #8
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  umekosea,yeye ndo miliki,zile za mwanza na mbeya ndo si zake
   
 9. A

  Albimany JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Coca cola Kwanza mengi alishajitoa zamani sana, hii ni hakika niliwahi kufanya kazi nao,na meneja wao wa (cocacola East Africa ndio aloniambia mchaga mwenzake mengi wakati huo).Kwasasa inammiliki mwengine simjui.
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Cckl ni ya makaburu, Mengi ana share kiduchu
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  i know one of the victims of this scandal. some have already lost their jobs. will ask her to contact u and see if she wants to spill the beans. it is a sad story, CMA sijui wanafanya nini!
   
 12. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Hakika ni kwamba alikuwa na 25% shares akaziondoa muda urefu baada ya kutokuelewana na share holders wenzake makaburu so yeye amebaki na Bonite northen zone na inafanya vizuri sana.
   
 13. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,759
  Trophy Points: 280
  Mengiiii???? We THE B!!! hebu ji_update banaa
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  umeona eeh!!
   
 15. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  mengi aliuza hisa zake kwa makaburu muda mrefu tu na lile eneo ambalo coca cola wanatumia lilikuwa la mengi kipindi hicho nalo limeshauzwa ,kwa sasa mengi ni mteja wa coca cola kama wewe tu na sio mmiliki wa coca cola kwanza.
   
 16. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwa swala la COCA COLA KWANZA mengi alishajitoa muda, aliona hapati faida sana watu wakamshauri amege fungu kwenye IPPMEDIA ili awekeze kwenye kiwanda. akawa mjanja akatosa ikabidi ajitoe kukiendesha alichofanya ni kuwakodishia ile yadi pale.
   
 17. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Coca cola Kwanza ipo chini ya Coca Cola Sabco yenye makao makuu Port Elizabeth South Africa, Mengi siyo mmiliki, nilifanya kazi mwaka mmoja pale Coca cola nikawapiga chini kutokana na vitabia vya ajabu ajabu kama majungu nk. Lakini uongozi wa juu HR uliondolewa sasa sijui hata ulioletwa bado nikimeo?
   
 18. jameeyla

  jameeyla Senior Member

  #18
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  coca cola kwanza is a moving skeleton for now,,,,thats why azam cola how is grabbing the seats fast,,ukijikongoja wenzako wanajiongoza ooohhh kalagabhaho the ipp's au ndio ile gutter politics imeanza kuonyesha impact zake kwenye business za ipp's,manake he was into politics i guess they had played him a siasa chafu on ipp's,,,,oouplah!
   
 19. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  CMA hawawezi kumfungulia mtu shauri kama wewe ambaye unadai hujatendewa haki haujapeleka shauri lake kufungua kesi.
   
 20. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Not all glitters is gold!Mhhhhh!
   
Loading...