Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Nilileta mada humu inayohusiana na Coca Cola na Azam, watu wakaniponda kwa kuwa hawakunielewa. Sasa naikumbushia tena.

Kiko wapi? Coca Cola wakae chonjo, wameshakosa at least 5% ya wanywaji coca toka Bakhresa aanzishe cola zake, na trend inaendelea.

Kweli naona kuna vita ya kiroho, mbona pepsi husemi kwamba soko lake litauliwa na Azam? Au pepsi ni ya Bakhresa?

umekosea,yeye ndo miliki,zile za mwanza na mbeya ndo si zake
unanikumbusha niliwahi kununua shea nico nikimuamini mengi na former wzr mkuu warioba lakini nafikiri ni desi nyingine hio. kama kuna mwenye taarifa kuhusu nicol atujuzeyaani mengi na biashara zake
ingekuwa marekani watu wangeshaandika vitabu best sellers
bodycare imekufa
ippmedia inakimbiwa na best journalist wake
na sasa hiyo cckl
usisahau tuhuma za kuifilisi nico
sijui.....
kumbukumbu zangu kuwa mengi hayupo coca cola kwanza bali bonite ya moshi kama cjakosea
Nisaidieni hili,maji ya kilimanjaro yanatengenezwa na kampuni ipi??????
Pepsi haina soko kama coca cola.

Yanatengenezwa na Bonite ya Moshi , CCK wanatengeneza DASANI water
Pepsi haina soko kama coca cola.
Kweli Coca-Cola Tanzania ni msiba mkubwa..lazima watapunguza wafanyakazi Azzam Cola ni Nouma!