Coastal Union vs Simba s.c. Live updates

Coastal Union vs Simba s.c. Live updates

Tatizo yule mganga alishasema tutashinda nyumbani tu, tukitoka nje ni
draw au kipigo.
 
Bora wanazidi kuvutwa mkia next time wanachezea mkwaju simba @ Crashwise
 
Matokeo ya 0-0
Mkwakwani ni mwanzo wa safari ya Yanga kukwea kileleni.
Hirizi zote wamechimbia Taifa,Wenzetu Yanga hawategemei kabisa hiyo kitu
lakini sisi ni balaa kila siku tunaenda kwa waganga, natamani kujiuzulu nafasi
yangu ndani ya simba.
 
bora hii point moja kuliko mtu aliyeenda kagera akadumbukiziwa kimoja akarudi zake dsm
 
Pointi 1 si haba; Yanga wangeipata kule Bukoba wangefanya sherehe.
 
Matokeo ya 0-0
Mkwakwani ni mwanzo wa safari ya Yanga kukwea kileleni.
Hirizi zote wamechimbia Taifa,Wenzetu Yanga hawategemei kabisa hiyo kitu
lakini sisi ni balaa kila siku tunaenda kwa waganga, natamani kujiuzulu nafasi
yangu ndani ya simba.
 
bora hii point moja kuliko mtu aliyeenda kagera akadumbukiziwa kimoja akarudi zake dsm
Sizitaki mbichi hizi, mkuu tumefanya vibaya nafikiri kosa kubwa
tunalolifanya ni kununua marefa hili litatugharimu sana mechi
za kimataifa.
 
Back
Top Bottom