Coastal Union vs Simba s.c. Live updates

Hapa Bongo mnamuona Okwi kama MUNGU mtu huko Uganda,anakalia benchi,ma'striker wa ukweli ndo wanaochukua namba huko
 
Yaani Simba mnaendeleza tu ile tecnic yenu ya kuwatumia marefa kuwatoa wachezaji wa team pinzani,haya mwambieni amtoe na mwingine ili wacheze 9 kama Oljoro ili mshinde
 
hivi kama matokeo yakibaki hivyo uganda wanasonga mbele?

Nafikiri utaongezwa muda au penalt ksbb Uganda alifungwa 1-0 Zambia,kwahiyo kwa kushinda 1-0 kwao itakuwa 1-1 na hii game lazima mshindi apatikane
 
Yaani Simba mnaendeleza tu ile tecnic yenu ya kuwatumia marefa kuwatoa wachezaji wa team pinzani,haya mwambieni amtoe na mwingine ili wacheze 9 kama Oljoro ili mshinde

kwa hiyo hata wakifanya ujinga wasipewe kadi basi hakuna haja ya kuwa na refa..
 
Okwi kama kawaida kakosa,bao oyaa huko Tanga vp mbona kimya wakati tunasikia Coastal washapungua
 
Kila mechi ya simba lazier tupewe penalty au timu pinzani kuonyeshwa red card au vyote viwili kwa pamoja
 
Back
Top Bottom