Coastal Union vs Simba s.c. Live updates

Coastal Union vs Simba s.c. Live updates

mbona mme-hijack thread? Hii thread ni ya Coastal vs Simba siyo Uganda na Zambia wakuu!
 
Inakuwaje kila simba lazima tupewe penalty au red card kwa timu pinzani au vyote viwili kwa pamoja
 
kongoli hapa: www.fifa.com fuata link ya Cocacola rankings utapata jibu lako tentatively TZ-130s na UG-90s.
jibu kwa Anselm anayesema Tanzania tunamuona Okwi kama Mungu wetu, hakuna siri ndo striker bora kwa Tanzania
 
Inakuwaje kila simba lazima tupewe penalty au red card kwa timu pinzani au vyote viwili kwa pamoja

Pesa za Mhaini hizo Kaka,huko Uganda The Cranes bado wanatakata
 
Inakuwaje kila simba lazima tupewe penalty au red card kwa timu pinzani au vyote viwili kwa pamoja

ukiwa na washambuliaji wazuri au viungo wazuri vitu hivi hutokea sana..mfano style ya okwi huwafanya mabeki wacheze rafu..
 
Yaani tuseme Leo Simba wanapoteza point tatu kwa Mara ya kwanza toka kwa ndugu Yao coastal union?
 
mbona mme-hijack thread? Hii thread ni ya Coastal vs Simba siyo Uganda na Zambia wakuu!

Mkuu usione soo, kumbuka Okwi wa Simba na Kiiza wako kule Ug., hivyo ile mechi inao uhusiano wa karibu na ile ya Mkwakwani. Tupeni matokeo ya Mkwakwani.
 
Back
Top Bottom