Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Kutolewa kwa Uganda kumetokana na tunda la Simba, Patrick Orchan kukosa penati. Huu ni udhaifu wa mnyama kushindwa kuendeleza vipaji vya wachezaji.
Siyo majungu mtani,tokea ligi ianze hii ni game ya 8 na katika kila game lazima mchezaji wa team pinzani apewe red card kama si mmoja wawili au mpewe penalt au vyote kwa pamoja,sasa najiuliza siku team mnayocheza nayo ikimaliza wachezaji sawa na nyinyi matokeo yatakuwaje?Hahaha acha majungu bana.
Hii ndo Bongo KakaLigi ya bongo vichekesho, nilikuwa sifahamu kama Simba mechi zote kachezea hapa Dar
bora hii point moja kuliko mtu aliyeenda kagera akadumbukiziwa kimoja akarudi zake dsm
Pointi 1 si haba; Yanga wangeipata kule Bukoba wangefanya sherehe.
CCM kirumba lini?
Hii ni live kutoka Tanga,kuna Jamaa yangu kamsikia refa akijitetea mbele ya watu fulani wanaohisiwa kuwa ni wa Simba kuwa alijaribu sana kuwatafutia penalt lakini mazingira hayakuruhusu kabisa ndo maana kaishia kutekeleza 1(la kumtoa mchezaji kwa red card) hilo la penalt likashindikana...ksbb hakuna hata move 1 Simba waliojaribu kuingia kwenye penalt box hata mtu akajiangusha..
we pale kirumba tuna karne hatujawai ondoka na point3, mie nikipaskiaga kirumba natamani nife
Naomba mwenye data kamili aanike hapa jamvini ni mechi ipi Simba amecheza bila timu pinzani kupewa red card. Kwa nini iwe hivi? Kuna fungu la marefa! Hii inabidi ifuatiliwe.
Okwi hajacheza game ya Yanga na Coast lakini still kadi nyekundu zilitolewa kwa timu pinzani na waliopewa kadi sio mabeki ni washambuliaji(Nsa Job na Simon Msuva)ukiwa na washambuliaji wazuri au viungo wazuri vitu hivi hutokea sana..mfano style ya okwi huwafanya mabeki wacheze rafu..
Ha ha ha ha,bora wewe unasikiaga kufa lkn hufi na huwa unaendelea kufatilia mpira,kuna mtu anaitwa Milovan akiwa pale Kirumba dk 90 za mchezo huwa anaenda Toilet kati ya mara 16 na 23,.......chezea CCM Kirumba wewe.
Simba chupuchupu kupakatwa huko Tanga
Okwi hajacheza game ya Yanga na Coast lakini still kadi nyekundu zilitolewa kwa timu pinzani na waliopewa kadi sio mabeki ni washambuliaji(Nsa Job na Simon Msuva)
Refa unanunua wewe na mashabiki maandazi wenzio. Simba Sports Club haina sababu ya kununua marefa. Ingekuwa hivyo okwi na maftah wasingekosa mechi Yanga kilaza wewe.Sizitaki mbichi hizi, mkuu tumefanya vibaya nafikiri kosa kubwa
tunalolifanya ni kununua marefa hili litatugharimu sana mechi
za kimataifa.
Naomba mwenye data kamili aanike hapa jamvini ni mechi ipi Simba amecheza bila timu pinzani kupewa red card. Kwa nini iwe hivi? Kuna fungu la marefa! Hii inabidi ifuatiliwe.
ndio wameishazoea hao wangepigwa kimoja tu ingekuwa poa balaa..