Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
kipindi cha pili tunawapiga hawa watoto
kipindi cha pili tunawapiga hawa watoto
inawezekana kwa kutumia uzoefu; ila first half Coast Union walitulia na ndo maana wameenda halftime bila kufungana.kipindi cha pili tunawapiga hawa watoto
Mkuu ubarikiwe niko na watch kitu Liveeeeeeeeeee.
Coastal Union nipeni raha
hawa madogo sijui tuwafunge..
Nsa Job Mahenya piga bao hao Watindiga
hawa madogo sijui tuwafunge..
mnawachezea mpira nini..